Huyu ndio mwanaume ninayemtaka, sitaki kuumiza moyo wangu una thamani

Bikra haijatajwa ama kweli vitu vimeadimika
 
Nikadhani ni Mimi nimeandika
Hahahhh.....hacha kudakia tangazo la mwenzio.....na wewe toa lako tuone vigezo gani unatoka na vyako pia...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] lakini mbona haya matangazo yamekuwa mengi siku hizi kuliko siku zote za jf?, haiwezi pita wiki au siku bila kukutana na tangazo la kutafuta mchumba????, kwa nn??, au idadi ya wanaume ni ndogo kuliko wanawake au wanaume hawajui kutongoza au tatizo nn aswaaaaa????, miss natafuta, miss chaga, kasie, kapeace, witnessj na wengine majibu tafadhali.....
 
Tangazo liko poa sana. Nimekidhi vigezo vyote ila basi tena.
 
Kila la heri. Sisi wengine wake zetu walitukuta tukiwa hohe hahe wakatukubali hivyo hivyo tukaanza maisha. Leo hii sio haba...maana haba na haba....mwenzetu unataka ambaye ameshajijenga tena mwenye Degree moja kuendelea......mwanaume mwenye miaka 34+ na hana mchumba au hajaoa na ana sifa zote ulizotaja hapo juu anaweza kupatikana mbinguni tu. Na hayo uliyoyaandika kama huwa unayaonyesha wazi wazi kwa watu ndio maana hujawaona wanaume kwa macho yako na sasa unataka umpate kupitia PM ya JF..
Kila la heri any way. You never know...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…