Km ulithubutu kuandika thread yako humu ukitafuta mwanaume wa kukuoa. Kivip hautaki kuchukua namba? Hapo amekurahisishia kazi.
Kwamm huwa nashangaa sana ninapoona mwanamke anahangaika kutafuta mume wa kumuoa.
Kwa jinsi mnavyogombaniwa km mpira wa kona halafu leo unasema umekosa? Nahisi ni maigizo tu.
Huwa naona wanawake wanaoandika thread ya kutafuta wenzi huwa ni waongo, lengo lao ni kutuchora tu.
Mm nilikuwa na mwanamke tuliyependana sana lkn alikuja badilika, vituko na dharau kila siku. Chanzo cha yote kapata mwanaume huko. Ikabidi niondoke kimya kimya nisije kufa kwa pressure. Unaweza kuniambia huyo mwanamke bado hajaolewa au hana mtu huko?
Kwa jinsi ninavyoona watoto wa kiume tunavyohangaika kuwapata nyie halafu leo uniambie hauna mtu. Siyo kweli lbd km unafanya biashara