Huyu ndio mwanaume ninayemtaka, sitaki kuumiza moyo wangu una thamani

Noted
 
Ngoja nikuelimishe kidogo bila malipo
Hawa unaosema wanadanganya kutafuta humu si kweli wapo serious kabisa Na sio kwamba eti hawatongozwi mtaani wanatongozwa
Wanawake tupo hivi.Anayekutongoza kuna utakayemkubari Na utakayemkataa kwa vigezo vyako .
Wengi humu utakuta alikuwa Na MTU waliopendana wa hukohuko mnakosema mtaani.akamtenda au akamfumania au matatizo ya kifamilia
Option hiyo anaiacha anaona let me try Jf or other means in social media..
Na Nina ushuhuda wapo waliobahatisha wakaolewa Na Sasa miaka tena toka Jf
Usibeze usichojua.Jf Ni Sasa Na mtaani tu.Watu wa humu Ni real people
 
Watu wanaishia kutukana hawajui ni maumivu gani MTU anakutana nayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…