Huyu ndio mwanaume ninayemtaka, sitaki kuumiza moyo wangu una thamani

Kwa taarifa yako , ndoa ni tunu. Si kila MTU ni lazima aolewe au kuoa, wengine watakuwa madanga maisha yao yote. Endelea na sifa zako za kijinga uone umri unavyokimbia kama Ferrari.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama ni ivyo Mwenyezi Mungu aliweka vitu tuchagua lakini Kuna vyengine ameshavikadilia tayari sivyo kama wewe ulivyotafsiri,Rizika na yeyote yule umpatae,Huenda huyo mwenye vigezo ivyo Mungu hajamuumba bado utafanyaje
 
Hii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeongea vizuri sana Mkuu
 
Kwa taarifa yako , ndoa ni tunu. Si kila MTU ni lazima aolewe au kuoa, wengine watakuwa madanga maisha yao yote. Endelea na sifa zako za kijinga uone umri unavyokimbia kama Ferrari.

Sent using Jamii Forums mobile app

Umri wangu ukienda unakuhusu nini? Ntakuja kuishi kwako? Pambana na hali yako ndugu, kila mtu na maisha yake uwezi kunilazimisha nipende unachopenda wewe.
 
ni muda sasa tangu ulipoliwasilisha bandiko hil
Tunaomba mrejesho, hali vipi huko
 
Aya weeeeeee!!!! Kipengele cha umri tu ndo kimenipiga ngwara

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndege wafananao uruka pamoja. Wewe mwelewa na sio mshamba kama mimi so huu uzi haukufai
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…