King 999
JF-Expert Member
- Aug 15, 2019
- 5,872
- 8,374
yaan ww unatafuta mwanaume wa "SHOW OFF" a.k.a mwanaume wa maonesho yaan unataka awe na pua ndefu afu ana degree ahahaha naona akili zako bado ni za kitoto subiri ufike miaka 30 akili ikomae kwanza(most of women they return to their sense when they are 30's) ndo utajikuta unakuja na thread humu zmeandkwa "NATAFUTA MWANAUME WA KUNIOA SHARTI AWE NA UUME BASI"
ukitaka mwenye vigezo hvyo ww simple tu UMBA WAKO mana hata ukizaa wako hawez kuwa na vigezo hvyo asee vigezo zaid ya 17 kwa mtu mtu duuuh
ukitaka mwenye vigezo hvyo ww simple tu UMBA WAKO mana hata ukizaa wako hawez kuwa na vigezo hvyo asee vigezo zaid ya 17 kwa mtu mtu duuuh