Huyu ndio mwanaume ninayemtaka, sitaki kuumiza moyo wangu una thamani

Inashangaza!idiot
 
Hiv ndiyo ugonjwa gani? We mtu mwenyewe empty kichwani et hiv ndiyo nini? Jaribu tofautisha kati ya hiv and Aids! Pumba kabisa
 
34+ mwanaume asiwe na mtoto kichekesho labda asiwe na uwezo wa kuweka mimba, vp ww ni bikra? Hujasemea hilo.
 
Hehe, nimefurahi nilipoona huu uzi ila comment za wajuba sasa ndo zimenifurahisha kabisa.... binafsi mimi nina vigezo vyote hivyo ila sitaki mwanamke mwenye vigezo vyako.
 
Hapo kwa Mhaya mhhhh!!! We kabila gani. Mbona kuna harufu ya ukabila babie.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Vigezo na masharti kuzingatiwa !
 

Tako lipo
 
Wewe unatafuta jini bila ya wewe kujijua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…