Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hili jibu linanitoa machozi kwa kicheko.bikra imefanyaje? kula ugali ulale
Niliona swali ni kwa mwingine then ukajibu wewe mama.Sijakuelewa shost?
Anakwambia ye ni msafi kuzid na anajua kupenda, anacare, anajtegemea na hajawah kusalit zote sifa nzur ni zake hzo zote ni urimbo, cha kujiuliza je kabla ya umri alionao na hizo sifa zake ina maana huko nyuma hakuonwa na mwanaime mpaka sahiv hajaolewa!! Kuna dalili kubwa ya mtu kuoa mke LUKAKUUkipapata panaweza geuzwa machimbo ya wanaume walio na sifa nyiiiiingi mnoo[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Watz ni pasua kichwa asee
Haya.We atoto nakupenda atii
Mbona vya kawaida tu hivyo.Vigezo kibaaao, huyu atasubiri sana
kila mtu atakufa nikifa basiUna masharti mengi sana usije ukafa single
asante umeshakula baba? wewe lala tu hakuna namnaYaani hili tangazo ni zaidi ya tangazo.la kazi utafikiri unajaza ajira portal ile ya government daah AM FUCKEN TELLING YO THE HOLY TRUTH you r never gonna find this kind of man TRUST ME...kuna vitu atamis tuuu ushauri wangu ni kwamba jifunze kukubali mapungufu ya unaempenda hivooo tuuu...maisha ya mapenzi uta enjoy..ila mambo kama mcha Mungu ni vitu vigumu sanaaa kivijua kwa mtu binafsi usije ukaweka vigezo ambavyo ni too inperson...pole sanaa.MIMI NNA VIGEZO ALMOST VYOTE NA NIKO SINGLE ILA SIJI INBOX YAKO WALA SIKUTAKI CUZ SIPENDI VIGEZO VYAKO.
gntSifa zote ninazo tatizo wanawake weusi sio type yangu.
Kilala kheri
Nimejaribu kufuatilia masharti ya kupata kazi usalama wa Taifa, UN, Jeshi la Israel na Korea kusin na shirika la NASA hakuna masharti magumu hvyo, huyu kiumbe atakua na kiwango cha Messi kwenye mapenzi yaan sio wa Sayari hii.Yaani hili tangazo ni zaidi ya tangazo.la kazi utafikiri unajaza ajira portal ile ya government daah AM FUCKEN TELLING YO THE HOLY TRUTH you r never gonna find this kind of man TRUST ME...kuna vitu atamis tuuu ushauri wangu ni kwamba jifunze kukubali mapungufu ya unaempenda hivooo tuuu...maisha ya mapenzi uta enjoy..ila mambo kama mcha Mungu ni vitu vigumu sanaaa kivijua kwa mtu binafsi usije ukaweka vigezo ambavyo ni too inperson...pole sanaa.MIMI NNA VIGEZO ALMOST VYOTE NA NIKO SINGLE ILA SIJI INBOX YAKO WALA SIKUTAKI CUZ SIPENDI VIGEZO VYAKO.
sawaUtasubiri sana
Umesema upstairs upo vizuri hujui hata matumizi ya nomino unasema mungu=x.... Mungu. Upstairs ni Zeo mpaka downstairs. Ulete mrejesho ukifanikiwa mkuu.Wakuu salaam.
Kwa malezi niliyolelewa mimi sistahili kufanya ili jambo, pia kwa mila na desturi za kiafrika sistahili kufanya hiki kitu, lakini huu moyo ni wangu, na mmiliki wa moyo wangu ni mungu. Sasa nikajiuliza kwa nini niendelee kuumia? Hakuna sababu ya kuendelea kuumia? ingawa najua mwanamke kumtafuta mwanaume ni aibu kubwa, ila nikawaza kwakuwa kuna sababu ambayo najua ni muhimu sana akipatikana na nikampenda nitamuweka wazi na atanielewa. Mamayangu amenilea vizuri kwa maadili na heshima, nina Imani ninachokiandika hapa mungu yupo anashuhudia,
Wale mtakaokuja kuniponda eti kwa nini nitafute mtandaoni huku niishiko hawapo? Jibu ni kwamba wapo kibao na wengine nikili wananililia kunioa but, for the sake of my heart wacha niweke wazi mwanamme ninae mtaka staki wahuni mm sio mhuni mung ndo shihidi.
SIFA ZA MWANAUME NINAE MTAKA.
1. Awe na mama yake mzazi/mlezi lakini akiwa na wazazi wot itapendeza sana.kama hana wazazi basi sawa ni mpango wa mungu ingawa itaniuma sana,
Why awe na mama yake? wakuu nataka kumuona huyu mwanamke duniani kote yeye ndo atokee anizalie mme? Nataka kumuona nimwambie ‘mama asante kwa kubeba mimba miezi 9 ukanizalia mwanaume wa ndoa nitakupenda kama mama yangu mzazi.’
2. Awe msafiiiiii. Narudia tena awe msafi kupitiliza spendi mwanaume mchafu sipend aina yeyote ya uchafu, No no nataka siku nikikutana nae macho yangu yadhibitishe kuwa ni msafi,yaan kuanzia kwake ndani mavazi awe smart.
3 Awe mrefu.
4. Rangi Yeyote hainipi shida ila akiwa na ka uweusi Fulani atanoga
5. Awe anajua kuvaa. kama hajui kuvaa smart nitamfundisha hii sector niko vizuri sana
6. Asiwe mwembamba. nataka zawadi za nguo nitakazokuwa nampa zimkae vizuri yaan awe na body size ya kati.(gentleman
7.Awe ana upendo. jamani kama mimi.nasisitiza kama una roho ya paka usijidanganye nataka nionje taste of love
8 Awe ana care, jamani awe na mkono mwepesi hata akinipa pipi ina thamani kwamgu, namiss hii kitu mm natoa sana nikimpenda mwanaume siwezi kutoka mjini bila kumnunulia chochote nguo ndo usiseme.
9.Awe kristo rc na mcha Mungu
10. Awe na miaka 34+ ni lazima.
11. Awe ameshafika stage Fulani ya maisha. Staki mwanaume tegemezi, atleast awe na mradi mmoja wa kumuingizia pesa tofauti na ajira.staki mwanaume mzembe ambae hajui kutafuta pesa. Inshort awe na mipango ya kuwa somebody na future nzuri .staki mwanaume anaemiliki p.u.m.b.u na smartphone.mm ni mtafutaji staki mwanaume wa ovyo.
12,Awe na kucha zote miguuni, napenda weekend nikimkata vizuri kucha zikae fresh avae sandles sometimes pensi fulan amaizing atoke bomba.
13 Asiwe alishawahi kuoa wala kuwa na mtoto nje ya ndoa, Mtoto ni Baraka ila watoto wa nje ya ndoa wanaleta migogoro .staki mme wa mtu mm.
14. elimu degree, masters phd vyote sawa.
15 asiwe mhaya .plz naomba msinielewe vibaya samahani sana mnisamehe
SIFA ZANGU
1. Namshukuru mungu kunipa upendo nina upendo kwa kila mtu
2. Mimi ni msafiiiiiiiiii yaaani ni msafiiiii kupitiliza
3. Nimeajiriwa ila nimejiajiri kimradi changu kidogo pemben tho sipendi kuajiriwa ndo mana nataka mwanaume ambae atanipa sapport tupanga miradi tuwe na maisha bora.
4. Elimu –degree
5. Rangi –mweusi kiasi
6. Urefu size ya kati umbo mm sio bonge.
7. nacare sana nikimpenda mtu nampenda kwa vitendo
8. Sijawahi kumsaliti mtu
9. Dini mkristo –rc
10, najitegemea sitegemei mwanaume vitu vidogovidogo nina uwezo navyo in short mm ni mtafutaji.
11mimi ni mcha mungu.
12 napenda sana competition sipend mme wangu azidiwe na wanaume wengine hasa kimaendeleo
13 sina mtoto na sijawahi kuolewa.
14 nina akili ya maisha yaani IQ yangu ipo juu saa upstairs niko vizuri.
15 Mm ni mchangamfu sana mcheshi namshukuru mungu kuniumba hivi.
16. mm ni mvumilivu ila ikiwa too much, siwezi kuvumilia tena.
N.B. Mimi ni binadamu sijakamilika nina mapungufu yangu lakini hivyo kidogo mungu alichonijalia kinaendana na ukweli niliouandika hapa. hasa sifa zangu.
NOTE. Ningependa nikutane na mwanaume ambae alishawahi kuishi nje nchi yaani ana exposure ya mambo mengi nina sababu ya msingi hasa kimaendeleo / biashara LAKINI AKIDHI VIGEZO VYOTE NO 1-15 . lakini kama hajawahi kuishi nje na ana vigezo hakuna mbaya najua nikiwa nae tutafika mbali.
NINAVYO MISS.
1. Mme wamgu uko wapi? Nimekusubiri nimejitunza nimechoka kukusubiri
2. Nimemiss kukumbatiwa miaka sasa
3. Nimemiss kukiss staki kukiss na jitu la ajabu lichafu
4. Nimemiss kubebwa
5. nina upweke staki kukaribisha vijianaume vya ajabu kwangu
6. Uko wapi baba nikupikie uone ninavyojua kupika.
7. Njoo uone nilivyo msafiii sijawahi kuingiza mwanaume kwangu njoo uone kwangu nilivyo msafi
8. Njoo uone ninavyojipenda
9. Njoo nikuoneshe upendo
10 Njo baba mama yangu anataka kukuona.
11. Namiss neno baba njoo nikuite baba.
Kiukweli nimeniss vingi sana sio kwamba nilipo hakuna wanaume wapo wengi kazini ila nataka wangu wa moyo nimuoneshe upendo nae anioneshe maana hiki ndicho ninachokimiss kutoka kwa mtu nimpendae.
Mwisho mm ni mwanamke ninaejitambua wale ambao mtakuja hapa kunitusi eti nichonge au nizae mme wangu nawaomba tafadhari mkae kimya najua ninachokita. na nina imani huyu mtu mwenye sifa hizi yupo.
Angalizo.
kama unajua huna vigezo hivyo hapo juu plz usijisumbue kuja pm maana niko makini, najua kuna vitoto vinavyomiliki laptop baada ya kupaya mkopo wa board vitakuja plz tuheshimiane ninaomba.
Karibuni.
wacha maneno koj.....a ulale diaNimejaribu kufuatilia masharti ya kupata kazi usalama wa Taifa, UN, Jeshi la Israel na Korea kusin na shirika la NASA hakuna masharti magumu hvyo, huyu kiumbe atakua na kiwango cha Messi kwenye mapenzi yaan sio wa Sayari hii.
pole dia hasira za nini? timu yako imefungwa? haya lala upoze machunguToo much selective, vigezo had vinaboa.
Huyo labda umuumbe/mtengeneze mwenyewe. Halafu punguza kujisifia mara ooh najua kucare, kupika, me msafi etc. Ungekua km unavyojisifia basi ungeshaolewa zaman lakn kwakua zero brain ndio maana umekuja kujinadi huku.
In love, affection is better than perfection.
Tchao
Umeona eeh huyu kibokoHahaha apo ndo pameniacha mdomo wazi
poa nina imani wapoUmri 34+ na awe hajawai kuzalisha. lazima utaongopewa .hakuna mwanaume wa 34 + hana mtoto .
usinipangie cha kufanya...eti lala...sio kila ukiona giza ni kulala money dont sleep so I dont rest....ama go getta...asante umeshakula baba? wewe lala tu hakuna namna