Hiki Cha pili ndio ninakisoma sasahivi na ingawa sijafika hata page ya ishirini ila mwanzo wake tu unaonyesha kina madini ya hatari.
Mpaka nakimaliza sidhani Kama nitabaki Kama nilivyo.
Nakushauri uendelee kusoma vitabu vingi tena tofauti tofauti vya waandishi tofauti utakuta kila muandishi ni bora kuliko mwingine. Ila maarifa yapo kwenye vitabu mkuu, keep it up