Huyu ndio mwandishi bora wa vitabu kuwahi kutokea

Huyu ndio mwandishi bora wa vitabu kuwahi kutokea

Deadbody

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2015
Posts
4,274
Reaction score
6,595
Anaitwa Dale Carnegie

images (2).jpeg


Na hivi ndio vitabu bora zaidi kuandikwa na huyu

images (3).jpeg



images (4).jpeg
 
Kila mwandishi ana vionjo vyake. Yupi ni bora kuliko wote ni suala la upendezeo wa mtu husika.

Pamoja na kusema hayo, Dale Carnegie ni mwandishi mahiri.

Nilisikia aliamua kusaidia masikini kwa kujenga maktaba katika miji mingi Marekani.
 
Hakuna mwandishi bora zaidi ya mwingine. Kila mwandishi awe wa fiction au real life ana umuhimu wake
 
Back
Top Bottom