Chikenpox
JF-Expert Member
- Oct 15, 2022
- 784
- 1,246
Ukiangalia tangu Samia aingie madarakani ajira zimefunguka kila pahala. Sector binafsi imekuwa more strong kiasi Cha kua absorb unemployed youths in street. JPM alirundika graduates miaka mitano hamna ajira serikalini Wala sector binafsi tukawa tunasisitizwa tujiajiri kupitia umachinga so PhD, masters Wala degree wote wawe machinga.
Kwa sasa kila Kona matangazo ya ajira yamekuwa mengi. Ukienda banking sector kila siku Mara absa, kcb l, nmb nk ajira bwerer. Ukija huku kwenye ualimu mashule yanatoa matangazo ya ajira kwa kuehindana bapo kipindi Cha jpm ukienda kuapply shule yoyote unaambiwa hata waliopo nusu wanapunguzwa.
Viva mama rais wa wanyonge