kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 12,971
- 15,248
Wewe unaishi wapi huko ambako hujui faida ya umeme?Ajira Kwanza Mambo mengine ni mtambuka tu. Umeme una faida gani wakati wahitimu wa vyuo walikuwa wanarandalanda tu na kuvuta shisha. Huoni Kama ni faida kwao wanamka wanaenda kazini kiasi ambacho wanaweza na wao kuoa na kuwa na familia tofauti na walivyotelekezwa na shetani yule
Mwamba huna akili.Ajira Kwanza Mambo mengine ni mtambuka tu. Umeme una faida gani wakati wahitimu wa vyuo walikuwa wanarandalanda tu na kuvuta shisha. Huoni Kama ni faida kwao wanamka wanaenda kazini kiasi ambacho wanaweza na wao kuoa na kuwa na familia tofauti na walivyotelekezwa na shetani yule
Una faida sana ila hoja yangu ni "what comes first". What should be the priority then what comes next. Read btn linesMwamba huna akili.
Nasikitika ukisema umeme hauna faida wakati huo huo umeme unagawa ajira kwa watu hata wasiosoma.
Njaa zikizidi tunapoteza hata common sense
NonsenseYule fashsti mwendakuzimu alikuwa anaipeleka nchi kuzimu
Ashukuliwe mungu mwenyezi kwa kutuondolea Lile shetani lililovaa mwili wa binadamu
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Huna adabu mtoto, kula kulala utayaonaje maisha mag
Bro ajira zinazotengenzwa na umeme... Daslam tu, tukiachana na part nyingne za nchi,... Serikali HAIWEZI kuwaajili hao watu wote waliojiajiri kwa kuwekeza kwenye umeme mzee, imagine watu wote wa stationary, photoshooters, hao vijana wanaochoma miziki, hospitali binafsi ambazo bdo hazijawa kubwa kiasi kwamba wanajenereta zao, mashine za kusagia, mbna kama Kila kitu Hadi muuza feni hapo Daslam... Atamuuzia nan wakati umeme haupo... Mbna mamb yanajieleza tu mkuu,Una faida sana ila hoja yangu ni "what comes first". What should be the priority then what comes next. Read btn lines
Mbona kipindi Cha jpm umeme ulikuwepo lakini ajira zote zikayeyuka tukabaki tunatamani angalau tuwe machinga nchi nzima?Bro ajira zinazotengenzwa na umeme... Daslam tu, tukiachana na part nyingne za nchi,... Serikali HAIWEZI kuwaajili hao watu wote waliojiajiri kwa kuwekeza kwenye umeme mzee, imagine watu wote wa stationary, photoshooters, hao vijana wanaochoma miziki, hospitali binafsi ambazo bdo hazijawa kubwa kiasi kwamba wanajenereta zao, mashine za kusagia, mbna kama Kila kitu Hadi muuza feni hapo Daslam... Atamuuzia nan wakati umeme haupo... Mbna mamb yanajieleza tu mkuu,
team msoga bhanaUkiangalia tangu Samia aingie madarakani ajira zimefunguka kila pahala. Sector binafsi imekuwa more strong kiasi Cha kua absorb unemployed youths in street. JPM alirundika graduates miaka mitano hamna ajira serikalini Wala sector binafsi tukawa tunasisitizwa tujiajiri kupitia umachinga so PhD, masters Wala degree wote wawe machinga.
Kwa sasa kila Kona matangazo ya ajira yamekuwa mengi. Ukienda banking sector kila siku Mara absa, kcb l, nmb nk ajira bwerer. Ukija huku kwenye ualimu mashule yanatoa matangazo ya ajira kwa kuehindana bapo kipindi Cha jpm ukienda kuapply shule yoyote unaambiwa hata waliopo nusu wanapunguzwa.
Viva mama rais wa wanyonge
Acha uzushi.Kujiita Rais wa Wanyonge ni kama Slogan ya huyo kiongozi sio ishu kila kitu kiko wazi hauhitaji nguvu kubwa kuaminisha mtu. Mama anaweza kuja na yake pia Rais Anayeupiga Mwingi.
Rakini alikuwepo Rais wa Mioyoni mwa Watanzania.
Leo lumumba naona imechangamka hayati atakoma.Ukiangalia tangu Samia aingie madarakani ajira zimefunguka kila pahala. Sector binafsi imekuwa more strong kiasi Cha kua absorb unemployed youths in street. JPM alirundika graduates miaka mitano hamna ajira serikalini Wala sector binafsi tukawa tunasisitizwa tujiajiri kupitia umachinga so PhD, masters Wala degree wote wawe machinga.
Kwa sasa kila Kona matangazo ya ajira yamekuwa mengi. Ukienda banking sector kila siku Mara absa, kcb l, nmb nk ajira bwerer. Ukija huku kwenye ualimu mashule yanatoa matangazo ya ajira kwa kuehindana bapo kipindi Cha jpm ukienda kuapply shule yoyote unaambiwa hata waliopo nusu wanapunguzwa.
Viva mama rais wa wanyonge
Wadanganyika kama Wewe.Acha uzushi.
Watanzania wepi?.
π π π πUkiangalia tangu Samia aingie madarakani ajira zimefunguka kila pahala. Sector binafsi imekuwa more strong kiasi Cha kua absorb unemployed youths in street. JPM alirundika graduates miaka mitano hamna ajira serikalini Wala sector binafsi tukawa tunasisitizwa tujiajiri kupitia umachinga so PhD, masters Wala degree wote wawe machinga.
Kwa sasa kila Kona matangazo ya ajira yamekuwa mengi. Ukienda banking sector kila siku Mara absa, kcb l, nmb nk ajira bwerer. Ukija huku kwenye ualimu mashule yanatoa matangazo ya ajira kwa kuehindana bapo kipindi Cha jpm ukienda kuapply shule yoyote unaambiwa hata waliopo nusu wanapunguzwa.
Viva mama rais wa wanyonge
Ila kumsifia mfu msifiaji anakuwa amekufa piaLeo lumumba naona imechangamka hayati atakoma.
Kupambana na mfu Ujue wewe ndo umekufa
Akili kisoda hizi. I hear this for the first time.in my lifeIla kumsifia mfu msifiaji anakuwa amekufa pia