Hahaaa Leo katika pitapita zangu Insta nikapita kwa meneja wa diamond sallam , nikakuta kaweka picha za performance Mombasa lakini hizo caption zake imeonesha dhahiri kwamba Ally kiba anawanyima usingizi kwakwel na inasemekana kwamba hawakutegemea Kama king atatimba maeneo hayo[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Asee meneja kachanganyikiwa nimeweka screen shot naomba mniambie mwenye presha kwa mwenzie hapo nani[emoji23] [emoji23] [emoji23] King kiba Go go go.. Alafu msisahau king atakuwa Miongoni mwa Wasanii watakaoperform kwenye Tuzo za MTVmama..
Muwe na sikukuu njema ..
I LOVE ALLY KIBA , I LOVE HIS MUSIC, I LOVE HIS MELODY[emoji8] [emoji8] [emoji7] [emoji7]