Huyu ndio surprise au bonus artist anaewakilisha bongo

Huyu ndio surprise au bonus artist anaewakilisha bongo

brave one

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
4,879
Reaction score
7,386
Unakumbuka fiesta mwanza wasanii wote watakao tumbuiza walitangazwa ila kuna msanii mmoja alitumbuiza kama bonus au surprise
Hali hiyo ilijitokeza tena jana mjini mombasa ,mwanzo chama cha odm kilitangaza diamond atatumbuiza lakini baada ya show yake alikiba nae alipanda kutumbuiza
Uongozi wa diamond umeamua kurusha dogo upande wa pili
1473615245409.jpg
 
Mimi nijuavyo siku zote promota au anae andaa matamasha hawezi mchukua msanii na kutumbuiza kama Suprise kwa mashabiki bila kuwa hana uwezo sababu ile maana nzima ya "surprise" unakuwa umeiharibu ila sishangai pia kwa hawa wasanii kupeana madongo mana ndo washabiki wao wanapenda kusikia hivyo
 
Hahaaa Leo katika pitapita zangu Insta nikapita kwa meneja wa diamond sallam , nikakuta kaweka picha za performance Mombasa lakini hizo caption zake imeonesha dhahiri kwamba Ally kiba anawanyima usingizi kwakwel na inasemekana kwamba hawakutegemea Kama king atatimba maeneo hayo[emoji3] [emoji3] [emoji3]

Asee meneja kachanganyikiwa nimeweka screen shot naomba mniambie mwenye presha kwa mwenzie hapo nani[emoji23] [emoji23] [emoji23] King kiba Go go go.. Alafu msisahau king atakuwa Miongoni mwa Wasanii watakaoperform kwenye Tuzo za MTVmama..

Muwe na sikukuu njema ..

I LOVE ALLY KIBA , I LOVE HIS MUSIC, I LOVE HIS MELODY[emoji8] [emoji8] [emoji7] [emoji7]
 
Acheni Uchochezi Nani aliona Mikataba yao mpaka Useme Kiwa huyu alilipwa hivi na huyu alilipwa vile? Huyo Sallam ndo anayepanic bure, na Alikiba ni Msanii asiye na Makuu kabisa anafanya Muziki wake.
 
Back
Top Bottom