mr gentleman
JF-Expert Member
- Aug 1, 2012
- 3,222
- 4,689
Mtoto wa kiume unakuwa na majungu kiasi hicho.....
Hivi uyo ndo manager wa Diamond platnumz?
endelea kumuita salaam zero lakini huo zero wake unamfanya aendelee kumcement Diamond kama msanii number 1 Eastafrica....Naomba niseme Ukweli Tofauti ya Managers hawa wawili ni kwamba. Meneja wa Alikiba ni Mdada Msomi na mwenye network kubwa sana Africa na Marekani hasa kwenye Industry hii ya Muziki. Na Meneja wa Diamond Shule ni Zero, wanachojua wao ni Majungu na kutumia nguvu nyingi sana Kumuweka Juu Diamond. Kitu ambacho Kwa Alikiba ni Tofauti. So Sijawahi kushangaa Maneno ya Sallam au Babutale, Ndo Uwezo wao ulipoishia. Huwezi kukuta Seven anapost Ujinga. [HASHTAG]#Kajiandae[/HASHTAG].
Nasikia walimchukua Almasi kwa 5m huku Seven akikubaliana kumtoa Kiba kwa 3m. Eti ni kweli mkuu?Naomba niseme Ukweli Tofauti ya Managers hawa wawili ni kwamba. Meneja wa Alikiba ni Mdada Msomi na mwenye network kubwa sana Africa na Marekani hasa kwenye Industry hii ya Muziki. Na Meneja wa Diamond Shule ni Zero, wanachojua wao ni Majungu na kutumia nguvu nyingi sana Kumuweka Juu Diamond. Kitu ambacho Kwa Alikiba ni Tofauti. So Sijawahi kushangaa Maneno ya Sallam au Babutale, Ndo Uwezo wao ulipoishia. Huwezi kukuta Seven anapost Ujinga. [HASHTAG]#Kajiandae[/HASHTAG].
Acha uchocheziNasikia walimchukua Almasi kwa 5m huku Seven akikubaliana kumtoa Kiba kwa 3m. Eti ni kweli mkuu?
Hapo umeongea tatizo wengine wanamuona mwengine asingeweza fanikiwa wanashangaa anaanza kupenya so hawapendi...na sikuzote rizki haiwezi kuzibwa na mtuJamani tuwapende woteeeeee
yaan sie tunabishana hapaa wenyewe wanapiga hela huo upuuzi wa team sitak hata kuusikia
Lakini hakukuwa na haja ya kupost alichopost naanza kuhisi kuwa hata management za hawa wasanii hui hali wanaipendamsanii anayefunga show siku zote ndo main man
kijana,usitudanganye kuwa ndomo ndo msanii nambari uno east Africa. leta takwimuendelea kumuita salaam zero lakini huo zero wake unamfanya aendelee kumcement Diamond kama msanii number 1 Eastafrica....
Swala la nani alilipwa kiasi gani ni Uongo mkubwa, hakuna mkataba wa kazi unaowekwa hadharani, makubaliano ya malipo ni baina ya meneja na waandaaji na ni Siri. Kama unahisi basi ni Uongo.Nasikia walimchukua Almasi kwa 5m huku Seven akikubaliana kumtoa Kiba kwa 3m. Eti ni kweli mkuu?
Fuatilia Post za hawa managers ndo utagundua upi ni Mchele na upi ni Pumba. Na hapo Shule ndo inapokuja katikati.Lakini hakukuwa na haja ya kupost alichopost naanza kuhisi kuwa hata management za hawa wasanii hui hali wanaipenda