Huyu ndio surprise au bonus artist anaewakilisha bongo

Naomba niseme Ukweli Tofauti ya Managers hawa wawili ni kwamba. Meneja wa Alikiba ni Mdada Msomi na mwenye network kubwa sana Africa na Marekani hasa kwenye Industry hii ya Muziki. Na Meneja wa Diamond Shule ni Zero, wanachojua wao ni Majungu na kutumia nguvu nyingi sana Kumuweka Juu Diamond. Kitu ambacho Kwa Alikiba ni Tofauti. So Sijawahi kushangaa Maneno ya Sallam au Babutale, Ndo Uwezo wao ulipoishia. Huwezi kukuta Seven anapost Ujinga. [HASHTAG]#Kajiandae[/HASHTAG].
 
endelea kumuita salaam zero lakini huo zero wake unamfanya aendelee kumcement Diamond kama msanii number 1 Eastafrica....
 
Ingekua diamond anajua kua kiba angekuepoo asingee perform ila naamini kiba alikua anajua hilo na coz may be kapewa pesa ndefu. Hii ni sawa na kumpandisha Wiz kid na Davido kwenye jukwaa mojaa. Bila wao kujua.
 
Naomba niseme Ukweli Tofauti ya Managers hawa wawili ni kwamba. Meneja wa Alikiba ni Mdada Msomi na mwenye network kubwa sana Africa na Marekani hasa kwenye Industry hii ya Muziki. Na Meneja wa Diamond Shule ni Zero, wanachojua wao ni Majungu na kutumia nguvu nyingi sana Kumuweka Juu Diamond. Kitu ambacho Kwa Alikiba ni Tofauti. So Sijawahi kushangaa Maneno ya Sallam au Babutale, Ndo Uwezo wao ulipoishia. Huwezi kukuta Seven anapost Ujinga. [HASHTAG]#Kajiandae[/HASHTAG].
Nasikia walimchukua Almasi kwa 5m huku Seven akikubaliana kumtoa Kiba kwa 3m. Eti ni kweli mkuu?
 
Lakini hakukuwa na haja ya kupost alichopost naanza kuhisi kuwa hata management za hawa wasanii hui hali wanaipenda
Fuatilia Post za hawa managers ndo utagundua upi ni Mchele na upi ni Pumba. Na hapo Shule ndo inapokuja katikati.
1473661067008.png
 
Back
Top Bottom