Bro[emoji15] [emoji15] [emoji15]sasa hapo kupaniki kuko wapi bro.
Watu kujaa sio ishu kinachozugumziwa ni kuwa kwny tangazo iliandikwa Diamond hataperform huyo mwingine hakutajwa so meneja wa diamond anaona brandname yake diamond imetumikwa kumnufaisha mtu mwingine pia
Angalia caption ya sallam utajuamahaba mabaya mno
mondi alichukuliwa kwa 5m.ksh
king kiba 3m ksh
pia sijaona kupanic kupo wapi?
Angetulia tuuWatu kujaa sio ishu kinachozugumziwa ni kuwa kwny tangazo iliandikwa Diamond hataperform huyo mwingine hakutajwa so meneja wa diamond anaona brandname yake diamond imetumikwa kumnufaisha mtu mwingine pia
Umeonaee mkuu yaani mm leo ndo nimejua kumbe wao ndo wanatafuta beef na kiba, kiba Hana makuu mkaka wa watu Mungu amjalieAcheni Uchochezi Nani aliona Mikataba yao mpaka Useme Kiwa huyu alilipwa hivi na huyu alilipwa vile? Huyo Sallam ndo anayepanic bure, na Alikiba ni Msanii asiye na Makuu kabisa anafanya Muziki wake.
Hahaaa sasa kwann meneja wenu apanic vile?? Usijifanye hujaona caption ya bwana meneja[emoji3] [emoji3] [emoji3]Ali Kiba awezi kuvuta crowd kama hiyo, hiyo crowd imevutwa na Diamond huo ndio ukweli.. Tunaona shows za Diamond akiwa peke yake na Kiba akiwa peke yake.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kapanic bana watu walijua kiba anaenda kwenye coke studio kuperfom [emoji28][emoji28]
Hahahaaaa halafu kiba ye hajali sasa watu washaanza Mara huyu kalipw mil 5 huyu mil 3 hiyo yote mapovuuu[emoji23] [emoji23] [emoji23]Ana ugonjwa unaitwa "uogauoga" huwa unasababisha mtu asijiamini kwa kile anachokifanya kwa kuhofia mtu fulani
Povu linawatokaje [emoji28][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Acha kufananisha Mnenguaji na Mwanamziki. Tunataka diamond aanze kuimba Live ndipo utashuhudia Kituko cha mwaka.Hahaaa sasa kwann meneja wenu apanic vile?? Usijifanye hujaona caption ya bwana meneja[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Hahahaaaa na badooo kiba anawachanganya sanakapanic menejaa
Umeonaeeee mm meneja ndo kaniacha hoi sio kwa caption zile [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ingekua diamond anajua kua kiba angekuepoo asingee perform ila naamini kiba alikua anajua hilo na coz may be kapewa pesa ndefu. Hii ni sawa na kumpandisha Wiz kid na Davido kwenye jukwaa mojaa. Bila wao kujua.
Ali Kiba awezi kuvuta crowd kama hiyo, hiyo crowd imevutwa na Diamond huo ndio ukweli.. Tunaona shows za Diamond akiwa peke yake na Kiba akiwa peke yake.
Ndio na nahis ilikuwa ni mpango iwe hivoKiba hakuwepo kwenye matangazo kama ataperform so katokea tu kama suprise
Meneja wa diamond ndo kayaleta haya yoteJamani tuwapende woteeeeee
Exactly!!!Hapo umeongea tatizo wengine wanamuona mwengine asingeweza fanikiwa wanashangaa anaanza kupenya so hawapendi...na sikuzote rizki haiwezi kuzibwa na mtu
Ndio na nahis ilikuwa ni mpango iwe hivo
Yaani sijaona meneja mchochez kama sallamNa hilo ndilo tatizo lao kubwa... Hawataki kuona msanii mwingine anafanikiwa, roho za ajabu kabisa!!