Huyu ndio surprise au bonus artist anaewakilisha bongo

Huyu ndio surprise au bonus artist anaewakilisha bongo

Watu kujaa sio ishu kinachozugumziwa ni kuwa kwny tangazo iliandikwa Diamond hataperform huyo mwingine hakutajwa so meneja wa diamond anaona brandname yake diamond imetumikwa kumnufaisha mtu mwingine pia

Huwezi kupangia waandaaji Nini cha kufanya kama makubaliano yenu yamekamilia na yeye...na iyo surprise wame ifanya coz kiba anapendwa Mombasa pia maybe walitaka kuwafurahisha watu wa Mombasa pia
 
Watu kujaa sio ishu kinachozugumziwa ni kuwa kwny tangazo iliandikwa Diamond hataperform huyo mwingine hakutajwa so meneja wa diamond anaona brandname yake diamond imetumikwa kumnufaisha mtu mwingine pia
Angetulia tuu
Yaan nilikuwa nawakubali kwa utulivu wao sema wameanza kuzingua
 
Acheni Uchochezi Nani aliona Mikataba yao mpaka Useme Kiwa huyu alilipwa hivi na huyu alilipwa vile? Huyo Sallam ndo anayepanic bure, na Alikiba ni Msanii asiye na Makuu kabisa anafanya Muziki wake.
Umeonaee mkuu yaani mm leo ndo nimejua kumbe wao ndo wanatafuta beef na kiba, kiba Hana makuu mkaka wa watu Mungu amjalie
 
Ali Kiba awezi kuvuta crowd kama hiyo, hiyo crowd imevutwa na Diamond huo ndio ukweli.. Tunaona shows za Diamond akiwa peke yake na Kiba akiwa peke yake.
Hahaaa sasa kwann meneja wenu apanic vile?? Usijifanye hujaona caption ya bwana meneja[emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Ana ugonjwa unaitwa "uogauoga" huwa unasababisha mtu asijiamini kwa kile anachokifanya kwa kuhofia mtu fulani
Hahahaaaa halafu kiba ye hajali sasa watu washaanza Mara huyu kalipw mil 5 huyu mil 3 hiyo yote mapovuuu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Ingekua diamond anajua kua kiba angekuepoo asingee perform ila naamini kiba alikua anajua hilo na coz may be kapewa pesa ndefu. Hii ni sawa na kumpandisha Wiz kid na Davido kwenye jukwaa mojaa. Bila wao kujua.
Umeonaeeee mm meneja ndo kaniacha hoi sio kwa caption zile [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Ali Kiba awezi kuvuta crowd kama hiyo, hiyo crowd imevutwa na Diamond huo ndio ukweli.. Tunaona shows za Diamond akiwa peke yake na Kiba akiwa peke yake.

ImageUploadedByJamiiForums1473663968.059123.jpg
iyo nayo ilivyutwa na diamond wiki mbili nyuma... Kiba alifanya show hapo iyo picha imewekwa na gavana wa Mombasa
 
Back
Top Bottom