Huyu ndio surprise au bonus artist anaewakilisha bongo

Sasa iyo show c iliushisha wasanii karibia wote wa kenya na ilikuwa bonaza

Kwani iyo Ya juzi Si bonanza pia kuna Mtu alilipa kwani[emoji3][emoji3][emoji3]?! Na wasanii walikua kiba na mondi tu ?! Hata wasanii wengine pia walikuepo wa Kenya kama ulikua hujui
 
By the way, Kiba alipojua ni ya siasa ali9mba kwenda kupiga show bure, na kuwahahidi hataingilia kujitangaza sababu show ni ya Diamond Platnumz aliyelipwa pesa nyingi.
Kiba anatumia jina la mond na kafanya makusudi hata ukiangalia post zke kabla ya show utaona ni jambo aliolipanga kwa faida yke
 

iyo crowd ilijazwa na mondi pia wiki mbili nyuma eeeh[emoji2] alafu uwanja ni uwo uwo kama hujui
 
Kiba ndiyo kaanda hiyo show au ODM ndiyo wameandaa?
 
Mahaba mabaya sana...mwanaume unakuja kueleza hisia zako za mahaba kwa mwanaume mwenzako jf...wengi mashabiki wa mziki lakin wew umezidi kuna mtu ambaye hajui diamond ndo mwamba wa tanzania...huku mnafurahia kwenda kuimba mtv diamond anayo tuzo kabatina..sasa nyinyi sijui lin mtafika huko afu kingine tanzania tunataka wasanii wengi waende international kama hivi sasa nyie wenye mahaba na wasanii wenu mnaanza kuyumbisha hizi juhudi
 
View attachment 398594iyo nayo ilivyutwa na diamond wiki mbili nyuma... Kiba alifanya show hapo iyo picha imewekwa na gavana wa Mombasa
Hiyo ni festival kama jahazi, sio show ya Kiba uwe unauliza kwanza. Kiba hana uwezo wa kupiga one man show kama Chibu huo ndio ukweli yeye anachoweza ni kutambaa kwenye nyayo za wengine.
 
Hamna anaeumizwa kichwa hapo ndugu yangu..

Hiyo inayoitwa "bifu" ni mbinu ya kumrudisha Alikiba katika vinywa na masikio ya wengi..

Katika maisha hakuna kinachotokea kama bahati!

Sasa salaam ndio anataka kumrudisha kiba
 
Hamna anaeumizwa kichwa hapo ndugu yangu..

Hiyo inayoitwa "bifu" ni mbinu ya kumrudisha Alikiba katika vinywa na masikio ya wengi..

Katika maisha hakuna kinachotokea kama bahati!
Hahaaa asee watu mna roho mbaya nyinyi hadi meneja wenu[emoji23] [emoji23] [emoji23] mapovuuu yatawatoka Sana tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…