Huyu ndio surprise au bonus artist anaewakilisha bongo

Huyu ndio surprise au bonus artist anaewakilisha bongo

Mmepanic [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] na bado, ila bado hamjajibu swali kwann meneja wenu aweke caption hizo?

Iyo anayoisema festival inatofauti gani na ya juzi ilo kua ya siasa ?![emoji23] maana zote ni bureeeee watu walikuja
 
1473669826432.jpg
hayaaa
 
Hahaaa Leo katika pitapita zangu Insta nikapita kwa meneja wa diamond sallam , nikakuta kaweka picha za performance Mombasa lakini hizo caption zake imeonesha dhahiri kwamba Ally kiba anawanyima usingizi kwakwel na inasemekana kwamba hawakutegemea Kama king atatimba maeneo hayo[emoji3] [emoji3] [emoji3] Asee meneja kachanganyikiwa nimeweka screen shot naomba mniambie mwenye presha kwa mwenzie hapo nani[emoji23] [emoji23] [emoji23] King kiba Go go go.. Alafu msisahau king atakuwa Miongoni mwa Wasanii watakaoperform kwenye Tuzo za MTVmama.. Muwe na sikukuu njema ..
I LOVE ALLY KIBA , I LOVE HIS MUSIC, I LOVE HIS MELODY[emoji8] [emoji8] [emoji7] [emoji7]
Awwwww ndio maana nawapenda masuper bebez u know
[emoji23][emoji23][emoji23]
Na bado.
Kapanic bana watu walijua kiba anaenda kwenye coke studio kuperfom [emoji28][emoji28]
 
Hahaaa Leo katika pitapita zangu Insta nikapita kwa meneja wa diamond sallam , nikakuta kaweka picha za performance Mombasa lakini hizo caption zake imeonesha dhahiri kwamba Ally kiba anawanyima usingizi kwakwel na inasemekana kwamba hawakutegemea Kama king atatimba maeneo hayo[emoji3] [emoji3] [emoji3] Asee meneja kachanganyikiwa nimeweka screen shot naomba mniambie mwenye presha kwa mwenzie hapo nani[emoji23] [emoji23] [emoji23] King kiba Go go go.. Alafu msisahau king atakuwa Miongoni mwa Wasanii watakaoperform kwenye Tuzo za MTVmama.. Muwe na sikukuu njema ..
I LOVE ALLY KIBA , I LOVE HIS MUSIC, I LOVE HIS MELODY[emoji8] [emoji8] [emoji7] [emoji7]
endelea kupiga umbeya huku umaskini ukikwandama fanya kazi
 
Walijua diamond hawezi kutokea ndo maana wakafanya surprise ila kiba alijua kwahiyo hapo ushajua nan anamuogopa mwenzie.. Diamond pamoja na makeke yake yote lakini anamuogopa kiba huo ndo ukweli
Dada tumeona video kiba watu walipoza sana mond alifanya kitu Mpaka watu wakawasha mafatak
 
Mie niko huku, mtu anatambuliwa kwa uwezo wako na sio kwa kumwacha Wema.
1473669931703.jpg
 
Attachments

  • 1473669820930.jpg
    1473669820930.jpg
    4.6 KB · Views: 18
  • 1473669830803.jpg
    1473669830803.jpg
    4.8 KB · Views: 16
  • 1473669866285.jpg
    1473669866285.jpg
    3.9 KB · Views: 18
Shule Jamani, Dada meneja ameenda shule vya kutosha, ila hawa wa Tandale na Manzese ni full Mipasho. Kiukweli Amepanic alijifanya hajui kuwa Kiba ata perform au kujitoa ufahamu? Basi na hiyo show ya Joberg MTVMama na yenyewe ni Suprise??
Achana na dada Seven bwana [emoji7][emoji7][emoji7]
Super woman mwenye akili kubwa.
Upande wa pili wote shule/exposure 0 ndio tunayoyashuhudia [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Walijua diamond hawezi kutokea ndo maana wakafanya surprise ila kiba alijua kwahiyo hapo ushajua nan anamuogopa mwenzie.. Diamond pamoja na makeke yake yote lakini anamuogopa kiba huo ndo ukweli
Ni kweli hawezi kutokea kwavile hilo battle lake na Alikiba halimnufaishi, sanasana linamnufaisha Alikiba. Na Alikiba anapenda sana hili bifu na Diamond liendelee milele maana limemsogeza sana, tokea amerudi 'kibifubifu' na Diamond mambo yake yanaenda vizuri, anatumia mgongo wa mwenzake kuwawin mashabiki
 
KIBA ANAKUJA NA REMIX YA AJE THEN INAFUATIA INTERNATIONAL COLLABO
Uwiiiiiii Kiba anataka kurudisha ule moto wa team uliopoa JF siku hizi.
Siwezi kusubiri [emoji39][emoji39][emoji39]
 
Back
Top Bottom