Huyu ndio Tunda bhana, msichana anayejua nini maana ya balanced diet

Huyu ndio Tunda bhana, msichana anayejua nini maana ya balanced diet

Tunda bhana ni msichana au video queen pekee anaye jielewa TZ nzima tofauti na video queens wengine kama Masogange, Amber Lulu, Gigy money nk

Sifa kuu inayomtofautisha Tunda na video queens wengine kwanza anajali na anajua nini maana ya mlo kamili ( balanced diet) tofauti na hao wengine ambao wanashindia chips kuku tu bhasi hawataki kabisaa kusikia habari za ugali hata kidogo

Pili Tunda bhana hanaga njaa za kijinga jinga kama akina Gigy money na Amber Lulu ambao maisha kwao hayaendi bila kuuza miili yao na kupost picha zisizokuwa na maadili

Haya ni maoni yangu tu wadau kwa leo
,aya uwanja wenu wadau na nyinyi tiririkeni

View attachment 412837

View attachment 412838
e27550b6eeff86fc5547b6b8c360205b.jpg
 
Halafu huyu tunda karibia picha zote hua anapigia hotel rooms, sijui anaishi hotelini au hua muda/mara mwingi hua anakwenda huko?
 
hahahahahah lol! Umenifurahisha sana Mkuu.

Hivi vitoto vya siku hizi tabu tupu,hapo kinatafuta tu kupata picture za kupost Insta na Fbok kanagusa gusa kanaacha huku kana njaa hatari.kama mimi kwa menu hiyo angejilipia hawezi'kunitia hasara za kibwege bwege mimi.
 
Amber Lulu kakamatwa???[emoji15] [emoji15] [emoji15] lini hiyo?

Ila yule dogo alizidi tamaa kwa kutaka pesa za haraka haraka na kutengeneza jina

Kuna siku alipost video anacheza wimbo wa salome , alikuwa kajifunika shuka lakini akianza kukatika akawa analifunua ,yaan unambiwa ndani hakuvaa cha chupi wala nini na ukiangalia vizuri uchi wote unauona
Nitumie namim niuone
 
Mtanashati hee, ebu weka hiyo video ya Amba akicheza salome, Ili tukuamini...🙂
 
Jamaniiiii Mbona huyo binti ana tuhuma ya kujiuza hata aliko huko Rwanda sasaivi ndo kilichompeleka
 
Jamaniiiii Mbona huyo binti ana tuhuma ya kujiuza hata aliko huko Rwanda sasaivi ndo kilichompeleka
alipigga picha moja matata nairobi airport duuu wabongo walimponda sana kipensi kimekatwa mpaka kwenye chura yake, bucta si bucta boxer si boxer yaani ni shiida
 
Back
Top Bottom