[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hakuna mwanamke anakula chips kama Gigy Money.
Anakulaga hadi nusu sado.
Tatizo ni minyoo tu, ukitaka kuamini ana minyoo angalia nywele.Mwili wa tunda haujui kusema ahsante
Kila mara kanakula lakini wapiiMwili wa tunda haujui kusema ahsante
Tunda bhana ni msichana au video queen pekee anaye jielewa TZ nzima tofauti na video queens wengine kama Masogange, Amber Lulu, Gigy money nk
Sifa kuu inayomtofautisha Tunda na video queens wengine kwanza anajali na anajua nini maana ya mlo kamili ( balanced diet) tofauti na hao wengine ambao wanashindia chips kuku tu bhasi hawataki kabisaa kusikia habari za ugali hata kidogo
Pili Tunda bhana hanaga njaa za kijinga jinga kama akina Gigy money na Amber Lulu ambao maisha kwao hayaendi bila kuuza miili yao na kupost picha zisizokuwa na maadili
Haya ni maoni yangu tu wadau kwa leo
,aya uwanja wenu wadau na nyinyi tiririkeni
View attachment 412837
View attachment 412838
AiseeTatizo ni minyoo tu, ukitaka kuamini ana minyoo angalia nywele.
hahahaha kumbee mzee mwenzangu aiseeaisee mbona tunachoreshana?
[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]Acheni ushabiki, Ka Tunda Ka Sweetyyyyy wallah
Hivi vitoto vya siku hizi tabu tupu,hapo kinatafuta tu kupata picture za kupost Insta na Fbok kanagusa gusa kanaacha huku kana njaa hatari.kama mimi kwa menu hiyo angejilipia hawezi'kunitia hasara za kibwege bwege mimi.
alikuwa anatoka naye na ni jamaa wa madawa ya kulevyaKuna jamaa yuko South Africa anaitwa Side kachorwa jina na huyo Tunda
ulishapanga kulala nayeTunda alikuw Rafiki angu badoo kipindi cha nyuma akanipa Hadi namba akanitumia Na picha kibao Ila hazikupita cku akaniblock.
kwann haujui kusema asanteMwili wa tunda haujui kusema ahsante
Nitumie namim niuoneAmber Lulu kakamatwa???[emoji15] [emoji15] [emoji15] lini hiyo?
Ila yule dogo alizidi tamaa kwa kutaka pesa za haraka haraka na kutengeneza jina
Kuna siku alipost video anacheza wimbo wa salome , alikuwa kajifunika shuka lakini akianza kukatika akawa analifunua ,yaan unambiwa ndani hakuvaa cha chupi wala nini na ukiangalia vizuri uchi wote unauona
Mtanashati hee, ebu weka hiyo video ya Amba akicheza salome, Ili tukuamini...🙂Amber Lulu kakamatwa???[emoji15] [emoji15] [emoji15] lini hiyo?
Ila yule dogo alizidi tamaa kwa kutaka pesa za haraka haraka na kutengeneza jina
Kuna siku alipost video anacheza wimbo wa salome , alikuwa kajifunika shuka lakini akianza kukatika akawa analifunua ,yaan unambiwa ndani hakuvaa cha chupi wala nini na ukiangalia vizuri uchi wote unauona
Mkuu umevunja kijiwe [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hakuna mwanamke anakula chips kama Gigy Money.
Anakulaga hadi nusu sado.
alipigga picha moja matata nairobi airport duuu wabongo walimponda sana kipensi kimekatwa mpaka kwenye chura yake, bucta si bucta boxer si boxer yaani ni shiidaJamaniiiii Mbona huyo binti ana tuhuma ya kujiuza hata aliko huko Rwanda sasaivi ndo kilichompeleka