Huyu ndio Tunda bhana, msichana anayejua nini maana ya balanced diet

Hiyo picha ya le kakaz na tunda utadhani kuku kakumbatia kifaranga anakikinga kuliwa na mwewe [emoji12] [emoji12]
 
tunda kimaro mrembo wa kirombo, shimboni shake
 
Hivi huyu nae vidio queen?? Kwa nyimbo zp??Yani huyu zake ni kubadili masela na kufakamia misosi km nguruwe pori hakana kazi zaidi ya kuselfie chooni!!!í ½í¸‚í ½í¸‚í ½í¸‚
 
hahaha we jamaa ni balozi wa tunda jf na ni mzoefu wa ban
 
JINA halisi la tunda yule demu wake young dee ni nani maana wengi hawamjui hata kidogo.
naomba jina lake
 
Nenda ofisi ya vizazi na vifo kwa mkuu wa wilaya utapata jina halisi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…