Huyu ndiye Aidan Msuya anayedaiwa kuhusika na jaribio la kumteka mwanaharakati Hamza Mshabaha nchini Kenya

Sasa hiyo mwanamke Mswisi wanamuhusishaje? Hata kama huyo Msuya ni mtekaji, wanajuaje kuwa huyo Mswisi yeye si muhanga tu kadanganywa kazi ya Msuya?

Na kama kadanganywa tu, hawaoni kuwa kumuanika yeye na biashara zake ni kumuonea?
Mimi naona jambo hili likikosa ushahidi watu watashitakiwa kwa kitendo cha kumhukumu mtu hadharani na kumchafulia hadhi yake na biashara zake.
Kuna hitajika umakini kidogo. Mfano akidhuriwa huyo mswisi au biashara yake anaweza kushitaki watu.
Yeye hausiki na tuhuma za rafiki au mwenza wake.
 
Tuna jamii ya low trust sana, watu wanachukulia tu kuwa anahusika, wakati inawezekana na yeye kadanganywa tu.
 
Na wale wa CCM waliotafuna pesa za michango ya vifo vya wanafunzi wa Arusha eti watajenga hospitali! Mungu awalaani CCM kwa kuwaibia watoto waliofariki kwa ajali.
 
Sasa hiyo mwanamke Mswisi wanamuhusishaje? Hata kama huyo Msuya ni mtekaji, wanajuaje kuwa huyo Mswisi yeye si muhanga tu kadanganywa kazi ya Msuya?

Na kama kadanganywa tu, hawaoni kuwa kumuanika yeye na biashara zake ni kumuonea?
Mtu yeyote anayetumia akili zake vizuri hawezi kukubaliana na huu uhuni unaofanywa na baadhi ya hawa wanaojiita wanaharakati.

Kama wameshindwa kuheshimu privacy za watu wengine wao wanataka waheshimiwe kwa lipi?
 
Unajuwa kwa nini wanafeli?

Wanaharakati wa Kenyandiko kinga yao inakoanzia.

Unajuwa walivyovurugwa akina Mwangi hapa na waovu hawa.
Serikali ya Kenya inawaogopa sana wanaharakati wa huko. Wakionyesha tu ushirikiano na waovu wa hapa. Kenya kunachimbika. Ruto kwa sasa hivi hana hamu tena na mapambano hayo aliyopitia siku za nyuma na kusalimu amri.
 
Yani mmeandika porojo zote hizi halafu picha ya familia yake mnataka kwetu.

Kwanza mwandishi hana adabu, matatizo yenu na huyo jamaa mke wake na familia yake wanahusika vipi?
Kwa nini na wewe usiandike za kwako unazojuwa wasomaji walinganishe na kuamua zipi zinamashiko

Hata ulivyoandika tu hapa ni wazi za kwako ni za kipuuzi kabisa.

Katika yoot yaliyoandikwa ni kipi usichokubaliana nacho?

Na wewe ni mshiriki katika ujambazi huo, maana inaonekana kuguswa sana hata wakati hujatajwa popote!
 
Mwisho kabisa namshukuru sana Mungu wetu kwa kuendelea kutupigania mpaka hapa tulipofika leo japo Vita ni kubwa, mapambano ni makali ila tutashinda kwasababu Mungu yupo upande wetu.🙏
Samia na genge lake wanazidi kutapatapa kadri ya joto linavyozidi kuwasogelea.

Hawa ni wahalifu wanaosubiri kuwajibishwa kwa uovu wao.
 
Duh!
P
 
TISS wamejazwa kwenye vyama vya upinzani kama njugu, ndiyo maana huwa inafika wakati vinajifia natural death.
 
Mwisho kabisa namshukuru sana Mungu wetu kwa kuendelea kutupigania mpaka hapa tulipofika leo japo Vita ni kubwa, mapambano ni makali ila tutashinda kwasababu Mungu yupo upande wetu.
 
What's your point dude?
 
Sasa huyo mwanamke Mswisi wanamuhusishaje? Hata kama huyo Msuya ni mtekaji, wanajuaje kuwa huyo Mswisi yeye si muhanga tu kadanganywa kazi ya Msuya?

Na kama kadanganywa tu, hawaoni kuwa kumuanika yeye na biashara zake ni kumuonea?
Information zote pamoja na za huo mchepuko wa Kizungu zatasaidia kufahamu mengi zaidi kuhusu huyo mtekaji aliyetoroka huko Kenya wenzake waliponaswa. Every piece of information is crucial to help connecting the dots.
 
You're either very stupid or just pretending to be one, yaani mtu aliyeenda kuteka hatendewi haki anapokuwa exposed? Yaani huyo kila information inayomhusu kuanzia wazazi, watoto, close friends, mke na huo mchepuko plus his routines vyote vimwagwe hadharani.
 
Information zote pamoja na za huo mchepuko wa Kizungu zatasaidia kufahamu mengi zaidi kuhusu huyo mtekaji aliyetoroka huko Kenya wenzake waliponaswa. Every piece of information is crucial to help connecting the dots.
Unajali kama huyo mzungu kadanganywa, hajui habari nyingi za huyo mtu, na anaweza kuumizwa kwa kuhusishwa naye, bila yeye kuhusika?

Similarly kwa familia yake, watoto, etc?

Unajali?

Au unaona ni sawa tu hata wakiuawa, hata kama hawahusiki kabisa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…