Huyu ndiye Aidan Msuya anayedaiwa kuhusika na jaribio la kumteka mwanaharakati Hamza Mshabaha nchini Kenya

Huyu ndiye Aidan Msuya anayedaiwa kuhusika na jaribio la kumteka mwanaharakati Hamza Mshabaha nchini Kenya

Hapana.

Hii habari ya "necwssary evil" ni mbaya sana.

Ukiikubali hii unakuwa huna tofauti na watekaji, ma CCM walioua watu nao wanatumia msemo huohuo.

Wanasema kuwateka hawa watu, kuwaua, ni necessary evil kuoata nchi nzuri, yenye maendeleo.

So, hiyo habari ya kuacha guardrails za due care, due process, prudence kwa sababu ya "necessary evil" ndiyo iliyotufikisha hapa.
I don't have malevolent intent towards her or anybody else who didn't participate be it directly or indirectly in the whole ordeal. The process of getting to the bottom of the story is very challenging, my wish is whatever is necessary to protect the innocent ones should be done.
 
Mke hahukumiwi kwa kosa la mume.

Umesema dunia yote wapelelezi huanza na hao watu wa karibu, sawa. Lakini hapa hatuongelei wapelelezi, tunaongelea habari zao hao watu wa karibu kuwa public na wao kuweza hata kuuawa na vikundi visivyo na uzoefu wala kujua/kujali wajibu wa due care wa wapelelezi.

Unapoongelea Polisi wangemfanyia upekuzi, huelewi wapi kuwa Polisi (proper police) wanajua kumhoji, kumpekua a person of interest bila kumu expose publicly kwa namna ambayo hizi habari za kumu expose mtu haziwezi kufanya?

Huelewi tofauti ya wapelelezi wa polisi kumfuatilia a person of interest kwa usiri mkubwa, mpaka ku establish ukweli, kama anahusika au hahusiki, na watu wa mitandaoni kumu expose mtu mitandaoni bila kujua uhakika anahusikaje?

Hujui tofauti uko wapi hapo?
Kwa nini u-assume kuwa wakitajwa watauawa? Na hujafikiria kama Mshabaa angetekwa na kurudishwa na kuawa ingekuwaje? Halafu kwenye modern media reporting hakuna formula ya kureport, ndiyo maana sasa hivi chochote kile kinaweza kuwa-exposed. Wengine wanaweza kusema ni free speech, huwezi kumpangia mtu aandike nini. Ethics za waandishi zipo. Je muandishi yupo against ethics kwa kuwataja minors - ni kweli. Ila kwa hao wakubwa mie sioni kuna ubaya wowote wanaweza kujitetea, hata mahakama zipo.
 
I don't have malevolent intent towards her or anybody else who didn't participate be it directly or indirectly in the whole ordeal. The process of getting to the bottom of the story is very challenging, my wish is whatever is necessary to protect the innocent ones should be done.
I don't doubt you.

But this is beyond you, it is about us as a society.
 
Kwa nini u-assume kuwa wakitajwa watauawa? Na hujafikiria kama Mshabaa angetekwa na kurudishwa na kuawa ingekuwaje? Halafu kwenye modern media reporting hakuna formula ya kureport, ndiyo maana sasa hivi chochote kile kinaweza kuwa-exposed. Wengine wanaweza kusema ni free speech, huwezi kumpangia mtu aandike nini. Ethics za waandishi zipo. Je muandishi yupo against ethics kwa kuwataja minors - ni kweli. Ila kwa hao wakubwa mie sioni kuna ubaya wowote wanaweza kujitetea, hata mahakama zipo.
Kanuni kubwa ni ku protect watu.

Mimi kutaka mtu ambaye hatujajua anahusika vipi alindwe dhidi ya uwezekano wa kudhuriwa haihusiani na Mshabaha kuuawa.

Kifalsafa hii ni logical fallacy ya non sequitur, pia ni false dichotomy.

Kwa sababu naweza kujali maisha ya Mshabaha yawe protected halafu hapo hapo pia nikajali maisha ya kimada asiye na hatia nayo yawe protected. There is no dichotomy there. This is not an either or question.

Hili si swali la kuchagua ama nijali maisha ya Mshabaha au ya kimada Mswisi. Naweza kujali maisha yao wote.

Na tunaweza kuongeza umakini ukaendana na kujali kama tupo serious.

Kwa sababu, inawezekana uchunguzi ukafanyika vizuri, hiyo mzungu akajulikana anahusika au hahusiki, na kama ana husika, au anaweza kusaidia muhalifu kupatikana, akasaidia.

Lakini si kwa kuwa exposed willy nilly, kwa dunia nzima, kwa watu wenye akili na wasio na akili, ambao wanaweza kumdhuru na kumuua mtu asiye na makosa.

By the way, habari ya kuwa makini katika kumu expose hivi mitandaoni inaweza kuwa na maana hata kama huyo mwanamke Mswisi anahusika.

Suppose huyo Mswisi ndiye anasuka mipango yote ya kuteka watu.

Na yeye ndiye anamtuma Msuya.

Huoni kuwa kusambaza habari zake mitandaoni kiholela kabla ya wapelelezi kumfikia kunaweza kukawa kumem tip off na kumuogopesha akakimbia Tanzania kabla ya upelelezi haujamfikia?

Unasema modern media watu wana report tu.

Ukweli kwamba naweza kukutukana na kukupakazia bila sababu hapa JF ndiyo unafanya kukutukana hivyo kuwe sawa?
 
Back
Top Bottom