M O N S T E R
JF-Expert Member
- Sep 26, 2022
- 8,825
- 20,941
Na vipi kama kumu-expose kutamfanya afunguke na kusaidia uharamia mwingi unaofanywa na unaopangwa kujulikana? Je unajali kuhusu hilo?Unajali kama huyo mzungu kadanganywa, hajui habari nyingi za huyo mtu, na anaweza kuumizwa kwa kuhusishwa naye, bila yeye kuhusika?
Similarly kwa familia yake, watoto, etc?
Unajali?
Au unaona ni sawa tu hata wakiuawa, hata kama hawahusiki kabisa?
Duh!Na vipi kama kumu-expose kutamfanya afunguke na kusaidia uharamia mwingi unaofanywa na unaopangwa kujulikana? Je unajali kuhusu hilo?
Nieleweshe hapa, mke wa Jambazi asitajwe jina, au? Maana inaelezwa kua ni mke na wanaishi pamoja. Kuna msemo; ukitaka kumjua mtu angalia wale ambao anashirikiana nao - hasa marafiki. Au kwa sababu ni mzungu? Kataja yule mke mwingine wala hujalaumu.Unajali kama huyo mzungu kadanganywa, hajui habari nyingi za huyo mtu, na anaweza kuumizwa kwa kuhusishwa naye, bila yeye kuhusika?
Similarly kwa familia yake, watoto, etc?
Unajali?
Au unaona ni sawa tu hata wakiuawa, hata kama hawahusiki kabisa?
The prudent thing is to err on the side of caution.Na vipi kama kumu-expose kutamfanya afunguke na kusaidia uharamia mwingi unaofanywa na unaopangwa kujulikana? Je unajali kuhusu hilo?
I got no point.What's your point dude?
Kwanza si mke, ni kimada.Nieleweshe hapa, mke wa Jambazi asitajwe jina, au? Maana inaelezwa kua ni mke na wanaishi pamoja. Kuna msemo; ukitaka kumjua mtu angalia wale ambao anashirikiana nao - hasa marafiki. Au kwa sababu ni mzungu? Kataja yule mke mwingine wala hujalaumu.
The prudent thing is to err on the side of caution.
Kuna namna ya kuchunguza hilo na kujua kama anahusika na hapo ndipo unaweza kumu expose.
Lakini, kuanza kumu expose tu kwa ku hope kwamba kutamfanya afunguke, unaweza kusababisha mtu asiye na hatia auawe.
Kuna watu wana hasira ya ndugu zao kuuawa, wanaweza kuona huyu mzungu ni easy target, wakamuua.
Wakati inawezekana na yeye ni victim kadanganywa tu wala hajui huyo Msuya anafanya kazi gani.
Sawa, lakini kwa nani? Kwa muktadha gani?Information zote pamoja na za huo mchepuko wa Kizungu zatasaidia kufahamu mengi zaidi kuhusu huyo mtekaji aliyetoroka huko Kenya wenzake waliponaswa. Every piece of information is crucial to help connecting the dots.
Mrs Lissu tuambie walitafuna kiasi gani? Maana familia ya Lissu ilisema hakuna fedha zilizo tafunwa, sasa wewe mke wake najua utakuwa na details zakutosha, naomba kufahamu zaidi.Yani mmeandika porojo zote hizi halafu picha ya familia yake mnataka kwetu.
Kwanza mwandishi hana adabu, matatizo yenu na huyo jamaa mke wake na familia yake wanahusika vipi?
Mimi tangu hawa wanaharakati watafune pesa za Lisu huwa niko nao makini sana, taarifa zao ni lazima nidigest mwenyewe na siyo kumezeshwa kila taarifa.
Yani mtu awe na hizi details zote hadi ujuwe mke wake anafanyakazi secret service then unataka sisi tukusaiduaje?
Kwa harakati za namna hii mtapotezwa kweli, kwa sababu Tiss ni Secret agency, ni wakuu tu DSO, RSO, DG na wengine wachache ndio huwa wanajurikana wengine ni secret service, sasa unapoexpose watu kama ni kwwli yupo huko huoni humtendei haki?
What is your point?View attachment 3549392
Je kadanganywa? Let's give it 50/50 probable chances.
Could she be the case of wrong place, wrong time? Very much possible.
Kama alikuwa anamdanganya ndiyo kitumbua kimeshaingia mchanga hivyo ni wajibu wake kumfungukia kinamna yoyote awezavyo ili amlinde. You know bad shit reciprocates, akiambiwa ukweli(anapaswa kuambiwa ukweli) anaweza kwenda chimbo(nchini kwake) and wait for the dust to settle.
Point muhimu.View attachment 3549392
Je kadanganywa? Let's give it 50/50 probable chances.
Could she be the case of wrong place, wrong time? Very much possible.
Kama alikuwa anamdanganya ndiyo kitumbua kimeshaingia mchanga hivyo ni wajibu wake kumfungukia kinamna yoyote awezavyo ili amlinde. You know bad shit reciprocates, akiambiwa ukweli(anapaswa kuambiwa ukweli) anaweza kwenda chimbo(nchini kwake) and wait for the dust to settle.
A bystander sometimes gets hurt.
Kama hili ni kweli basi pia ni sahihi kusema TiSS ndo chanzo kikubwa cha mikwamo kiuchumi na kisiasa kwenye inchi hiiTISS wamejazwa kwenye vyama vya upinzani kama njugu, ndiyo maana huwa inafika wakati vinajifia natural death.
My point is kwa mambo yalipofika huyo bibie wa Kizungu atafute namna(if she didn't know anything) kwani sasa anajua ya kwamba alikuwa kwenye uhusiano na mtu wa namna gani. If she is sensible atajua kuwa anaweza kuwa target sasa ni juu yake kuchukua tahadhari au kudharau, anaweza kurudi kwao kwa muda kwa kuwa ameshayakaga na hakuna namna rahisi ya kukwepa uwezekano wa watu kumalizia hasira zao kwake. Watu bado wana uchungu sana na anapaswa kulitambua hilo.What is your point?
Exactly.Kama hili ni kweli basi pia ni sahihi kusema TiSS ndo chanzo kikubwa cha mikwamo kiuchumi na kisiasa kwenye inchi hii
Mini siongelei yeye tu anachotakiwa kufanya.My point is kwa mambo yalipofika huyo bibie wa Kizungu atafute namna(if she didn't know anything) kwani sasa anajua ya kwamba alikuwa kwenye uhusiano na mtu wa namna gani. If she is sensible atajua kuwa anaweza kuwa target sasa ni juu yake kuchukua tahadhari au kudharau, anaweza kurudi kwao kwa muda kwa kuwa ameshayakaga na hakuna namna rahisi ya kukwepa uwezekano wa watu kumalizia hasira zao kwake. Watu bado wana uchungu sana na anapaswa kulitambua hilo.
The very necessary evil was exposing every information about this dude Aidan Msuya.
It is the necessary evil to get to the bottom of the story.Mini siongelei yeye tu anachotakiwa kufanya.
Mimi naongelea jamii nzima inachotakiwa kufanya, including hao wanao mu expose bila kujua anahusikaje.
Kama ni maadili ya uandishi kitu kimoja nakuunga mkono ni hao wadogo walindwe (protection of minors).Kwanza si mke, ni kimada.
Pili mtu anahukumiwa kwa makosa yake, si ya mke, kimada wala mume wake.
Tatu, wanaume wa Kitanzania wengi wanajulikana kwa usiri na tabia ya kutowaambia wanawake wao wanafanya nini, utajuaje hata mke wa jambazi anajua mume wake anafanya nini?
Nne, nimetaja suala la kuhusisha familia nzima, mpaka watoto, kuwa ni kosa. Mtu anahukumiwa kwa makosa yake, si kwa makosa ya mumewe, mkwewe, baba yake, mama yake.
Huelewi wapi?
Hapana.It is the necessary evil to get to the bottom of the story.
Amen tutadhinda lazima Mungu yupo upande wa Haki
Ameandika Hilda Newton
Majina yake anaitwa Aidan Francis Msuya wengi humwita Danny, ni mtoto wa Mzee Msuya ambaye alikuwa mtumishi wa kawaida UDSM siyo Profesa.
Msuya amesoma shule ya Msingi Mlimani (UDSM), Secondary amesoma Tambaza na baadae akamalizia Mikoani.
Soma > Wanaodaiwa kuwa Watanzania wakamatwa nchini Kenya wakijaribu kumteka Mwanaharakati Mshabaha Hamza
Amezaliwa na kukulia Ubungo Msewe kwa Baba na mama yake na hapo hapo kwao kwanyuma ndiyo amejenga ghorofa lake japo kwasasa Wazazi wake wanaishi Kibaha-Mkoa wa Pwani.
Msuya anawatoto wa kike wote wapo watano na Mke wake muhaya maarufu kama Mama Ivana.
Msuya alishawahi kufanya kazi Airtel ila akafukuzwa bada ya kufukuzwa Airtel akawa mfanyabiashara wa kawaida.
Msuya aliingia CHADEMA 2014 akagombea Uenyekiti wa Serikali ya mtaa Ubungo Msewe akashinda kwa kumuondoa Jaffary Nyegesha (ambaye huyu jaffary ndiyo Diwani wa Ubungo leo hii)
Mwaka 2019 Msuya aligombea Uenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa kichama Ubungo na akashinda japo aliondolewa June 2020 na Katibu Mkuu, John Mnyika baada ya kuthibitika kwamba alishirikiana na Serikali ya ya Magufuli kumuondoa Meya wa Ubungo wakati huo Boniface Jacob.
Baada ya kuvuliwa Uongozi ndani ya CHADEMA, Msuya alikimbilia ACT ambako hadi sasa ni Mwanachama wao.
Kwasasa Msuya ameoa Mke mwingine Mzungu Raia wa Uswiss anaitwa Sandra, Sandra anamiliki Duka kubwa la Dawa maeneo ya Kisutu na amepanga Appartment Masaki wakaoishi kwa siri yeye pamoja na Aidan bila Mke wa Aidan (Danny) kujua.
MAISHA YA MASHAKA.
Msuya amekuwa na kesi nyingi za Ujambazi za kuvunja magodauni ya watu lakini huwa hafungwi.
Mwaka 2024 alikamatwa kwa kesi ya wizi wa mitandao ambapo yeye na wenzake waliiba Shilingi za kitanzania Bilioni 5 lakini aliachiwa katika mazingira ambayo ni tatanishi.
Machi 2025 alikamatwa kwa kesi nyingine ya wizi wa mtandao ambapo yeye na wenzake wengine waliiba bilioni 2 za kitanzania lakini Disemba 2025 yeye ambaye ni mtuhumiwa namba moja aliachiwa kwa NOLE ya DPP wenzake wote mpaka leo bado wako jela katika.
DPP alimfutia kesi Msuya kwasababu Msuya ni mtu wao ambaye TISS, Abdul na akina Mafwele huwa wanamtumia kwenye mambo yao meusi ikiwemo kuteka na kupoteza watu hasa wapinzani na Wanaharakati ambao wanaikosoa Serikali.
Ikumbukwe kuwa Dada yake Aidan Msuya ni Boss Mkubwa TISS (HR) ambapo mwaka 2016 Magufuli alimfukuza Dada yake Msuya pamoja Suleiman Mombo kwenye hiyo nafasi.
Dada yake Msuya akapelekewa India Ubalozini na Mombo akapelekwa ubalozini Brazil.
Dada yake Aidan alirejea Tanzania mwaka 2021 baada ya Samia kuingia madarakani na aliporudi tu nchini alimteuwa kuwa Naibu katibu mkuu wa Wizara baadae alimtoa Wizarani na kumrudisha Ikulu.
Februari 22, 2025 yaani Jumapili iliyopita Msuya akiwa na wenzake watatu nchini Kenya walifanya jaribio la kumteka Mwanaharakati Hamza Mshabaha bahati nzuri watekaji watatu walikamatwa na Jeshi la Polisi nchini Kenya ila Msuya alifanikiwa kukimbia na kurudi nchi mara baada jaribio lao kufeli.
Nimejulishwa kwamba Serikali ya Samia kupitia vyombo vya usalama wamempa Msuya na wenzake tenda ya kuhakikisha mie Hilda Newton, Maria Sarungi na Sativa tunauawa mahali popote ambapo watabahatika kumuona yeyote kati yetu na endapo watafanikisha hili watapewa mpunga mrefu sana ndiyo maana kasi ya kutuwinda imekuwa kubwa maana watekaji wanatuona sie fursa.
So mkimuona huyu kaka huko mtaani basi mjue huyu ni moja ya watu ambao wanaunda Genge la Kuteka, kupoteza na kuuwa watu.
Kama kuna mtu yeyote ambae anataarifa ya ziada kuhusu mtu huyu ikiwemo picha za Familia yake yaani mke wake wa kwanza na yule mzungu, fullname ya mzungu na jina la duka lake la dawa lakini pia kama unajua jina na picha ya Dada ake ambae ni afisa TISS zitatusaidia sana kwenye kufanikisha kumpata huyu muuaji
Mwisho kabisa namshukuru sana Mungu wetu kwa kuendelea kutupigania mpaka hapa tulipofika leo japo Vita ni kubwa, mapambano ni makali ila tutashinda kwasababu Mungu yupo upande wetu.🙏
Mke hahukumiwi kwa kosa la mume.Kama ni maadili ya uandishi kitu kimoja nakuunga mkono ni hao wadogo walindwe (protection of minors).
Ila kwa hao wakubwa mke, kimada au rafiki, hapana hauko sahii. Fikiria huyu jamaa si tofauti na jambazi lakini kwa sababu katumwa na serikali hatumuuiti hivyo. Duniani kote katika scabdal, au uhalifu hata mauaji, wapelelezi kwanza kabisa huanza na watu wa karibu mke au hata rafiki au kimada. Ni kipi kinakufanya wewe ufikiri kua huyu mama hausiki 100 percent, anakuwa vile vile ni suspect kwa sababu ana-associate na muhalifu.
Polisi kama wangem-suspect muhalifu moja kwa moja hata huyu mama angeweza kufanyiwa upekuzi. Inawezekana ndiyo anayemsaidia kwa hizi kazi hata kuficha zana za kazi.