Huyu ndiye Aidan Msuya anayedaiwa kuhusika na jaribio la kumteka mwanaharakati Hamza Mshabaha nchini Kenya

I don't have malevolent intent towards her or anybody else who didn't participate be it directly or indirectly in the whole ordeal. The process of getting to the bottom of the story is very challenging, my wish is whatever is necessary to protect the innocent ones should be done.
 
Kwa nini u-assume kuwa wakitajwa watauawa? Na hujafikiria kama Mshabaa angetekwa na kurudishwa na kuawa ingekuwaje? Halafu kwenye modern media reporting hakuna formula ya kureport, ndiyo maana sasa hivi chochote kile kinaweza kuwa-exposed. Wengine wanaweza kusema ni free speech, huwezi kumpangia mtu aandike nini. Ethics za waandishi zipo. Je muandishi yupo against ethics kwa kuwataja minors - ni kweli. Ila kwa hao wakubwa mie sioni kuna ubaya wowote wanaweza kujitetea, hata mahakama zipo.
 
I don't doubt you.

But this is beyond you, it is about us as a society.
 
Kanuni kubwa ni ku protect watu.

Mimi kutaka mtu ambaye hatujajua anahusika vipi alindwe dhidi ya uwezekano wa kudhuriwa haihusiani na Mshabaha kuuawa.

Kifalsafa hii ni logical fallacy ya non sequitur, pia ni false dichotomy.

Kwa sababu naweza kujali maisha ya Mshabaha yawe protected halafu hapo hapo pia nikajali maisha ya kimada asiye na hatia nayo yawe protected. There is no dichotomy there. This is not an either or question.

Hili si swali la kuchagua ama nijali maisha ya Mshabaha au ya kimada Mswisi. Naweza kujali maisha yao wote.

Na tunaweza kuongeza umakini ukaendana na kujali kama tupo serious.

Kwa sababu, inawezekana uchunguzi ukafanyika vizuri, hiyo mzungu akajulikana anahusika au hahusiki, na kama ana husika, au anaweza kusaidia muhalifu kupatikana, akasaidia.

Lakini si kwa kuwa exposed willy nilly, kwa dunia nzima, kwa watu wenye akili na wasio na akili, ambao wanaweza kumdhuru na kumuua mtu asiye na makosa.

By the way, habari ya kuwa makini katika kumu expose hivi mitandaoni inaweza kuwa na maana hata kama huyo mwanamke Mswisi anahusika.

Suppose huyo Mswisi ndiye anasuka mipango yote ya kuteka watu.

Na yeye ndiye anamtuma Msuya.

Huoni kuwa kusambaza habari zake mitandaoni kiholela kabla ya wapelelezi kumfikia kunaweza kukawa kumem tip off na kumuogopesha akakimbia Tanzania kabla ya upelelezi haujamfikia?

Unasema modern media watu wana report tu.

Ukweli kwamba naweza kukutukana na kukupakazia bila sababu hapa JF ndiyo unafanya kukutukana hivyo kuwe sawa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…