Mbn we ulikushinda kusomaRubani ni dereva kama walivyo dereva Bodaboda,sasa hapo kinachongaza sijui ni kipi.
Wanaodharau u pilot ni wajinga fulani hivi.Mbn we ulikushinda kusoma
Wewe ulisoma digrii ya Kiswahili niniRubani ni dereva kama walivyo dereva Bodaboda,sasa hapo kinachongaza sijui ni kipi.
Ukiona mtu anabeza ujuzi au mafanikio ya mtu kwenye masomo basi elewa kuwa huyo ni KilazaWewe ulisoma digrii ya Kiswahili nini
Mbona unamkasirikia mwanamke kisa ni rubani,kubali gepu tu mkuu [emoji3][emoji3]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wewe ulisoma digrii ya Kiswahili nini
Mbona unamkasirikia mwanamke kisa ni rubani,kubali gepu tu mkuu [emoji3][emoji3]
Diamond ukuje huku, kuna mtu anadharau vitrako vya pisi kali yako 😁Halafu ni pisi kali ujue. Hilo kono lake ni sawa na upaja wa Zuchu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha ujinga we Makerubi wa McKenzieHawa ni WATOTO WA WASOMI.
Wachungaji
Mapadre
Wakatoliki, wasabato, walutheri na Anglicana.
Hawa watu WANASOMA mno jamani ....
NENDA sasa msikitini.
Kukalilishana utumbo WA MWAMEDI tu
Ndiyo Aliyesukuma Dege Likiwa Na Mwili Wa Mpendwa Wetu Hayati JPM
Ndiyo Aliyesukuma Dege Likiwa Na Mwili Wa Mpendwa Wetu Hayati JPM
Ndiyo Aliyesukuma Dege Likiwa Na Mwili Wa Mpendwa Wetu Hayati JPM
Hiyo ni aina gani ya ndege mkuu ili tuiite Dege?
Yeye ndo alirusha au captain? Au tuseme alimsaidia captain kurusha ndege iliyobeba mwili wa mpendwa wetu?
Tuache na majini yetu😅Hawa ni WATOTO WA WASOMI.
Wachungaji
Mapadre
Wakatoliki, wasabato, walutheri na Anglicana.
Hawa watu WANASOMA mno jamani ....
NENDA sasa msikitini.
Kukalilishana utumbo WA MWAMEDI tu
Acha ujinga kwani kuendesha/ Kurusha ndege ni ujasiri au ujuzi (professionalism)Hongera zake kwa ujasiri.