Huyu ndiye Cedric Kaze, Kocha mpya wa Yanga anayerudisha heshima Yanga

Hukusikia kuwa makubaliano ya makataba na Kaze yalifanyika kabla hajafika nchini na alishiriki kwenye usajili wa baadhi ya Wachezaji kwa kuwaambia viongozi wa Yanga wasajili Wachezaji fulani akija awakute?
Tena ni kalinyos tu ndo alisajiliwa bila kupendekezwa na Kaze
 
Sifieni weeeeeeeeeeeee.......Lakini Kombe sahauni ...... Uyo Kaze mwambieni kbs lengo ni FA
 

Copy and pest
 
Huyo sio kocha wa kawaida
 
Kaze ni bonge la kochaa nadhan mako ha wazawa wana kitu cha kujifunza kutoka kwa kaze, nimeipenda sana ile program na style yake ya kuwafanyia ‘mentoring’ na kuwajenga baadhi ya wachezaji wa tim pinzan mara baada ya mechi baina yao na yanga kumalizika, hii kitu sijawai iona popote.....
 
kweli kabisa bonge la kocha toka barcelona
 
Kwel asee
 
Acha unafiki wewe...

Kaze hata kama ametimuliwa atabaki kuwa The best

Sent from my SM-J720F using JamiiForums mobile app
The best ? Mkali wa hizi kazi au mkali wa mashuzi? The best of what? Au hata hujui maana ya the best? How can you sack the best coach? Who do you wanna hire? You are so pathetic.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…