Huyu ndiye Cedric Kaze, Kocha mpya wa Yanga anayerudisha heshima Yanga

Uzi ulikuwa mtamu sana huu[emoji1] kweli ogopa sana Mungu na teknolojia! Maana sifa alizomwagiwa huyu kocha ktk huu uzi sio za dunia hii! Kuna mmoja alisema huyu kocha anaona akimbadilisha Nchimbi na kuwa streka namba moja[emoji3] Toka kaze aje hadi anasepa Nchimbi hajafunga[emoji134]
 
Yuko vizuri
 
Uliwadharau wahenga waliokuja na msemo Ngoja Ngoja huumiza Matumbo, sasa Yanga wamepita humohumo ktk huo msemo wameona wakingoja wataumia matumbo wametimua.Waombe radhi wahenga na usirudie tena kuhoji walichosema wahenga
 
Say it again
 
punguzeni midomo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…