Huyu ndiye Cedric Kaze, Kocha mpya wa Yanga anayerudisha heshima Yanga

Nakuafiki kwa hili hata huyu wa sasa atakumbwa na hili km kishingo

Sent from my Nokia 3.2 using JamiiForums mobile app
 
kweli kabisa bonge la kocha toka barcelona
Nakuafiki kwa hili hata huyu wa sasa atakumbwa na hili km kishingo

Sent from my Nokia 3.2 using JamiiForums mobile app
I hope not..wakati natuma hii comment unakumbuka Yanga walivyokuwa wanacheza?speed yao ku compare na simba?sijui nini kimewakuta i think kuna tatizo nje ya uwanja,ukiachilia mbali viwango ila walikuwa wanapambana kwelikweli hadi kuna siku manara akiwa redion EFM alisema anatamani kuona SPIRIT ya wachezaji wa simba ku fight for the jersey iwe kama ya yanga
ninachompenda da rosa so far ni team inakaba kwa pamoja hadi wavivu wa kukaba kama dilunga na chama nao wanajua kukaba siku hizi
 
Kitu kinawasumbua yanga wachezaji wamegawanyika

Wachezaji walioletwa na GSM wanalipwa vizur

Wachezaji wa Msolwa hoi

Hawa wa Msolwa wanasema sawa wacheze wao

Ni hilo tu

Spirits haipo kwa wachezaji[emoji38]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…