Huyu ndiye DJ Fetty bwana!

Ni aibu sana kwa mwanaume kupangisha nyumba haina choo!!!!!
Heshina ya nyumba choo bana hata kama ni ghorofa kama haina choo ni sifuri!!!
 
Hivi raha ya hicho Choo ni nini??? Au nyie ndo wazee wa kfira
Ni aibu sana kwa mwanaume kupangisha nyumba haina choo!!!!!
Heshina ya nyumba choo bana hata kama ni ghorofa kama haina choo ni sifuri!!!
 
Wakati mwingine jifunze kuibua kipaji, wengi wao wakifikia age flani nundu huwa inakuja hasa akitotoa first born (ndio watu hujuta kwanini hawakufanya maamuzi magumu)
Pale mkuu hakuna uvumbuzi asee,hiyo ni pata potea. Kuna wadada kweli ukifumba macho na kujibebea 'nundu' huwa inatokea hususani akikolezwa na 'Mkuyenge' au akijifungua. Kashakwepa mishale mingi yule.
 
Pale mkuu hakuna uvumbuzi asee,hiyo ni pata potea. Kuna wadada kweli ukifumba macho na kujibebea 'nundu' huwa inatokea hususani akikolezwa na 'Mkuyenge' au akijifungua. Kashakwepa mishale mingi yule.
Sio hawa wa kukutana nao kwenye mitandao...ukitaka kujua mwanamke yukoje kitabia na utabiri wa hali ya hewa ya mwili mwangalie mama yake na dada zake wakubwa
 
we umempendea nini wakat hata tako hana mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…