Huyu ndiye FIRAUNI/FARAO na maajabu ya maiti yake kutokuoza

Kichwa cha habari na hbari yenyewe haviendani, umeshindwa kueleza kama mwiliwake hauozi au unaoza na hali ya huo mwil kwa sasa, umeishia kutiririka porojo za maprofesa type ya Lipumba
 
Wazee wa C&P
Muwe mna toa na credit mnapo hamisha kazi za watu


Uzi OG uko hapa
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
kwa akili tu ya kawaida, kama kweli firauni alisema hayo maneno ni nani aliyeyasikia na kuja kuyasimulia ? hivi kwa mfano mimi ningekuwa ni abiria wa meli iliyozama baharini kabla sijafa niseme maneno fulani alafu nife na abiria wenzangu, nyie huku jamiiforums mtayajuaje hayo maneno ?
 
Kwakweli inastaajabisha.
 
Hata mimi nimemwambia.
 

Tatizo uliposema hukufikiria na kama ulifikiria ulifikiria kwa upande mmoja,tukio linatokea mtume Musa na wafuasi waligeuka wakawa wana waangalia Farao na watu wake walivyokuwa wanaingia mpaka mpaka njia ikajifunga na wakawa wanazama na kufa.

Habari hiyo imekuja kupitia ufunuo,ufunuo ambao unatoka kwa Mola wetu mlezi,na sisi tuna uamini sababu umetoka kwa yule muweza wa wote.

Kama una swali lingine uliza,na mimi naomba nikuache na swali,huwa una amini vipi habari za kale yaani unaujuaje ukweli wa habari za kale ?
 
Nenda Misri uone walivyo muhifadhi msikitini na wakisema alikuwa muislam. Wewe hata misri hujafika unabishana na waliokaribu na Wanaomtunza
 
We jamaa huyo molawako mlezi ni muongo sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…