Shadow7
JF-Expert Member
- Sep 28, 2020
- 24,606
- 39,289
Huyu jamaa alitisha sanaKuna dereva wa basi la abood alitoka mwanza saa 1 asubuhi akafika morogoro saa 4 asubuh yaani alitumia masaa 4 tu. Ila alikamatwa chalinze
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu jamaa alitisha sanaKuna dereva wa basi la abood alitoka mwanza saa 1 asubuhi akafika morogoro saa 4 asubuh yaani alitumia masaa 4 tu. Ila alikamatwa chalinze
Na umekubali kudanganywa kweli?Huyu jamaa alitisha sana
Ni kweli hii taarifa niliipata kipindi hicho japo mtoa mada kwenye muda ndo kaongeza chumvi kidogoNa umekubali kudanganywa kweli?
Hii ndo inaitwa stori ya jaba!Kuna dereva wa basi la abood alitoka mwanza saa 1 asubuhi akafika morogoro saa 4 asubuh yaani alitumia masaa 4 tu. Ila alikamatwa chalinze