Shadow7 JF-Expert Member Joined Sep 28, 2020 Posts 24,606 Reaction score 39,289 Jun 1, 2024 #341 Morogoro kaskazini said: Kuna dereva wa basi la abood alitoka mwanza saa 1 asubuhi akafika morogoro saa 4 asubuh yaani alitumia masaa 4 tu. Ila alikamatwa chalinze Click to expand... Huyu jamaa alitisha sana
Morogoro kaskazini said: Kuna dereva wa basi la abood alitoka mwanza saa 1 asubuhi akafika morogoro saa 4 asubuh yaani alitumia masaa 4 tu. Ila alikamatwa chalinze Click to expand... Huyu jamaa alitisha sana
Mjukuu wa Magika JF-Expert Member Joined Jul 5, 2019 Posts 550 Reaction score 1,071 Jun 1, 2024 #342 Shadow7 said: Huyu jamaa alitisha sana Click to expand... Na umekubali kudanganywa kweli?
Shadow7 JF-Expert Member Joined Sep 28, 2020 Posts 24,606 Reaction score 39,289 Jun 1, 2024 #343 Mjukuu wa Magika said: Na umekubali kudanganywa kweli? Click to expand... Ni kweli hii taarifa niliipata kipindi hicho japo mtoa mada kwenye muda ndo kaongeza chumvi kidogo
Mjukuu wa Magika said: Na umekubali kudanganywa kweli? Click to expand... Ni kweli hii taarifa niliipata kipindi hicho japo mtoa mada kwenye muda ndo kaongeza chumvi kidogo
Mibas JF-Expert Member Joined Apr 3, 2012 Posts 4,196 Reaction score 6,367 Jun 1, 2024 #344 Morogoro kaskazini said: Kuna dereva wa basi la abood alitoka mwanza saa 1 asubuhi akafika morogoro saa 4 asubuh yaani alitumia masaa 4 tu. Ila alikamatwa chalinze Click to expand... Hii ndo inaitwa stori ya jaba!
Morogoro kaskazini said: Kuna dereva wa basi la abood alitoka mwanza saa 1 asubuhi akafika morogoro saa 4 asubuh yaani alitumia masaa 4 tu. Ila alikamatwa chalinze Click to expand... Hii ndo inaitwa stori ya jaba!
Mbaga Jr JF-Expert Member Joined May 28, 2018 Posts 29,028 Reaction score 69,666 Jun 1, 2024 #345 Mnatupanga sana humu