Huyu ndiye Jamaa aliyetaka nikamatisha Takukuru Nihukumiwe Uhujumu Uchumi

Ilikuwa ni takrima. Haikuwa rushwa. Nlifanya kazi bila upendeleo...
Takrima gani ya kujificha hivyo? Kama ulipewa hiyo fedha na hukutekeleza walivyotaka waliokupatia fedha hiyo wewe ni tapeli nambari wani...adhabu ya matapeli ni kuwafanyizia
 


Picha hata ya kirikuu basi tafadhali.
Unajua habari kama hii bila picha hainogi?
 
Hii stori nimewahi kuipata mahali

Labda kama nilipoipata ndio mtoa mada ama sivyo ni changamsha genge
 
Haa haa umenikumbusha mbali sana. Miaka ya 2010 jamaa mmoja X alitaka kunipa rushwa nimsaidie kuficha dhambi zake,nikamwambia poa akaenda kuomba kwa ndugu yake. Kumbe ndugu yake ni TISS. Jamaa la TISS likamshauri wanidakishe. X anaenda kuomba ushauri kwa mfanyakazi mwenzie D ila D akamshauri asifanye huo usenge. Jamaa X akapuuza bahati nzuri D akanitonya kila kitu,nikaapa kumkomesha na hela yake ntakula.

Siku ya tukio tulikutana Bar. Kwa mbali akiwa na bro yake na jamaa wa Pccb. Nilienda na dreva wangu halafu nikakodi na Taxi. Nilipofika bar nikamkuta amekaa meza ya peke yake,fasta akataka kunipa mzigo,nikamwambia chuna kwanza. Nikamuamuru anifuate na begi lake,akanifuata nje ya bar tukaingia kwenye taxi nkampokonya simu na kupiga mafuta.

Tayari tukawa tumewapoteza PCCB maana hawakuwa na usafiri na walikuja na gari ya X. Baadae wakatoka nje wakamkuta dereva wangu wakamuuliza nilipoenda, dreva akajibu niliingia bar.

Yule X nikachukua vumba zake nikampa buku 10 ya boda,nikasepa zangu kwenda kuficha hela.

Baada ya wiki jamaa ananimaindi mbona sijamsaidia? Nikamwambia hana akili kutaka kunikamatisha wakati yeye ndo aliomba msaada.
Baada ya mamiezi akasimamishwa kazi
 
Dah!...hi michezo ya kushikishana rushwa ipo sana maana wivu, roho mbaya na visasi vimeshamiri.
 
Hizi ndo akili. Pesa unakula na unatimiza wajibu wako. Unajua kama watu wote tutaamua kuwa rushwa tunachukua na tunatenda haki rushwa ingeisha kabisa.

 
Hainaga mjanja mkuu kuwa makin usiendekeze Sana hizo unaweza kuingia kwenye mtego bila kujua
 
Easy money with a brainy person!
Hongera kwa kupiga mtonyo mkuu
 
Dadeki hii inanifanya nimkumbuke hakimu mmoja hivi huo mchezo alikuwa anaufanya kiujasusi zaidi, kama una kesi anakwambia nenda katafute laki tano uje nazo au ndugu zako ukimpelekea na anakwambia uje mahakmani alafu kuna lockup ukija anaagiziwa mgambo unawekwa ndani bila kusachiwa alafu usiku unatoa mzigo unampa mgambo au askari asubuhi unachomoka
 
Mkuu binadamu wabaya sana usiwaamini
Hata mkeo usimwamini sana
 
kwa Taadhar tu sku hz jamaa wakikuweka kwenye Target ya pesa zao znakua na Unga flan iv ktendo cha kuzshka tu ata umpe mtu mwngne kama ulvyo fanya wakfka wakshakuweka chn ya ulnz wanatoa tochi yao na kukumulka mikono lazma udakwe tu
Kwa hiyo tuvae gloves
 


Hii ni story mzee! Labda unawasikiaga takukuru!

Hela umezishika kwa mikono ukarudisha begi! Hapo tayari ushakwisha! Na hizo fedha ungeziagiza tu.
Hiyo hela huwa haipotei mzee.

Halafu hyo hela ukiigusa tu! Hata unawe vipi lzm ndani ya 24hrs itabaki kwenye vidole.
Ndo maana ikaitwa za unga.

Wadanganye size yko.
 
Mkuu wewe ni uliyekuwa Meneja wa G...., TANGA miaka ya 2000 maana ndio hiki kisa kilifanyika huko, mpaka leo TAKUKURU wenyewe wanashangaa ilikuaje na mzee ameshastafu, ndio wewe mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…