Huyu ndiye Jamaa aliyetaka nikamatisha Takukuru Nihukumiwe Uhujumu Uchumi

Kesho jumatatu Mbungo atafanya press, na kutaja watu ambao ni wanted.. jiandae
Nlikuwa nmeajiriwa Kampuni flani miaka hiyo ya 2010s ndani ya miezi 3 tu Uongozi uliona nafaa kuwa kiongozi katika kitengo cha manunuzi. Walimtoa aliyekuwepo ambaye mpaka muda huo alikuwa na kashfa nyingi sana.

Shida kubwa walikuwa wanamuogopa sababu alikuwa anahisiwa ni mtu wa mfumo na pia alikuwa anayafahamu makando kando mengi sana ya Kampuni.

This time alitolewa sababu aliyekuwa kiongozi alikuwa mgeni .so yeye hakujali hayo aliyoambiwa about the man. Hili lilieta changamoto kidogo kwa Mkurugenzi ambaye ni alikuwa kabila moja na jamaa mtolewa na Board yake maana wakawa na waswas kuwa sasa maisha yatakuwaje nmewekwa mtu mgeni sieleweki.

Jamaa akapewa kitengo kingine.aliumia sana na kuapa kuwa mimi sitodumu nafasi ile. Basi ikaja tender moja kubwa sana ya mamilion ya pesa. Kiukweli ilikuwa na mitego mingi sana ya Rushwa.

Binafsi nlikuwa nafahamu vigezo vya kutoa tender husika ni vipi.nmezungukwa na wapigaji ila mimi ndo mtu muhimu zaidi.jamaa wakaja kuniona ofisini tukajadiliana mawili matatu wakataka tuongee ki utu uzima.

Nliwaambia haina shida tuongee tu.wakasisitiza ni vyema iwe nje ya ofisi.nikasema sawa. Tukazungushana sana wakati huo mchakato unapamba moto. Jamaa wenzangu wamekamata unyevu tayari wanasubiri na mimi nikamate.

Kumbe yule jamaa aliyetoka ile nafasi yangu alikuwa anahusika kwa kiasi kikubwa sana na ilitokea siku moja nipo na jamaa tunaongea simu ikaita kwa wale jamaa kuangalia namba na jina la mbaya wangu.nikanyamaza kama sikuona kitu. Jamaa alipokea na kujibu tu " subiri ntakupigia kukujulisha" akakata.

Taa nyekundu iliwaka kichwani.nina jamaa zangu wapo mtandao flani wa simu nikapeleka namba zao kwenda kuangalia mawasiliano ya watu hawa yakoje.nlishtuka wanawasiliana frequently.

Basi jamaa wakanambia wapo tayari kunipa mil 10 niwape tu uhakika kuwa nitawapitisha hata kwenye 3 bora huko kwingine watamalizia wenyewe.nikawaambia 15 mil zitapendeza zaidi. Hawakubisha

Siku ya kuonana na jamaa tulipanga kukutana mitaa flani hivi karibu na home kuna hotel waje na mzigo.wakati huo home nlikuwa nmeshampanga bwana mdogo tutatumia nyumbani kwake.maana alikuwa single. alikuja mara moja kuwa akae upande wa pili wa jirani kwa jamaa yake awe standby.

Tulipofika Hotel hiyo tumeagiza vinywaji jamaa ananambia nikamate kabisa ule mzigo.nlimwambia hapana ashike tu kwanza pesa zilikuwa kwenye bag la laptop.

Nikamwambia tuinuke twende sehemu nyingine pale si pazuri sana.jamaa akaanza kudai ana haraka sana amemwacha mama yake mgonjwa.nikamwambia kama hawezi fuata utaratibu wangu aondoke na ule mzigo.the man jasho lilikuwa linamtoka sana though the place pana AC.
Basi nikamwambia tuondoke twende home.akaomba afike washroom kwanza. Akaenda akarudi fresh na kusisitiza tuwahi basi home.ilinishangaza kidogo kama karudi ana nguvu hana tena waswas.

Basi tukaingia garini yeye kashika bag.mimi nlienda hiyo sehemu na bodaboda. Alikuwa na gari Toyota Prado.hao mpaka home kwa bwana mdogo nikafika that time nimeshamwambia kwa text whatsapp nakuja wewe nenda ukuta wa pili kwa jirani.jamaa yake.

Kweli tumefika nikashuka nikafungua geti gari ikaingia ndani.tukawa ndani na jamaa.akatoa mzigo nikahesabu nikamwambia aondoke na bag lake halina haja ya kubaki. Pesa zilikuwa za kawaida si mpya.

Basi jamaa akawa anaaga. Akapanda garini ambako alimwacha dereva wakatoa gari.zile pesa nlizifunga kwenye mfuko wa karatasi nikamrushia bwana mdogo ukuta wa pili akaondoka nazo. Hazikupita dk 15 nikasikia hodi.

Natoka nakutana na Mzee Mmoja Balozi/Mjumbe na jamaa wanne. Wakatoa IDs zao kuwa wao ni Takukuru na Mmoja wao ni Askari. Wanaomba kuja kusearch nyumba yangu wakiwa na Mjumbe.

Nliwakaribisha ndani. Walisearch nyumba nzima mpaka darini.wakakosa walichotaka maaana ilibidi wajieleze sasa nliwaeleza tu kuwa jamaa alikuja nimwoneshe gari langu maana nlikuwa nauza tukashindana bei akaondoka na pesa zake.jamaa hapo wakashtuka na mmoja haraka akatoka nje kupiga simu.

Akarudi na kuwaambia wenzie twendeni.nakumbuka mmoja alisema "bro tumekosea sole" (siyo sorry) nikawaambia msijali.

Wakaondoka kasi nadhani kumfuata jamaa... After a week ulifanyika mchakato wa kumpata mzabuni. Wale jamaa hawakupata tuliwachinja hasa mimi ndiye nliyeshika kisu.walikosa sifa muhimu.

Mi nlikuwa nmesharudi kwenye makazi yangu na bwana mdogo kasafiri zake tena.maisha yakaendelea maana hawakufahamu naishi wapi.

Nlichukua mil 13 mbili nikampa bwana mdogo. Sikutumia zile pesa nlienda ingiza kwenye account ya uncle wangu mmoja zikae zipoe kwanza.

LEO HII NIMEKUTANA NA JAMAA ALIYETAKA KUNIUNGUZA AKISHIRIKIANA NA YULE JAMAA ALIYETUMWA NA KAMPUNI KUNIPA RUSHWA. AMECHOOOOOOKA SANA. ALITAKA KUNIKIMBIA MIMI NIKAMKIMBILIA KUMSALIMU.

anaendesha kirikuu...ingawa amenambia ni chake lakini mazingira yanaonesha ameajiriwa maana pale ni kijiweni na wenzie walikuwa wanamtania jinsi jana alivyonyanyaswa na Traffic akiwa amebeba mizigo ya watu akiwahamisha from point A to Point B.

UBAYA HUWA HAULIPI.

Mhusika hajataka jina lake lifahamike
 
Bro unabahati sana au hao jamaa hawakuwa Takukuru ninaowajua mm,Pesa za Takukuru zinakuwaga na chemical flani hivi kiasi kwamba ukishika tu rangi rangi zinabaki mkonono mwako for 24hrs,hiyo ni moja ya vithibiti kuwa umepokea pesa...
Pesa za madili siku hizi hatushiki mkononi vinginevyo umekwenda na maji.
 
Miaka hii not miaka ile ndugu yangu.na huo mchezo ulikuwa mwanzo na mwisho.now mambo hayapo kama mwanzo.sasa hata pesa zenyewe wanaweza kuweka na tracking device. Teknolojia ina mambo mengi.

Bro unabahati sana au hao jamaa hawakuwa Takukuru ninaowajua mm,Pesa za Takukuru zinakuwaga na chemical flani hivi kiasi kwamba ukishika tu rangi rangi zinabaki mkonono mwako for 24hrs,hiyo ni moja ya vithibiti kuwa umepokea pesa...
Pesa za madili siku hizi hatushiki mkononi vinginevyo umekwenda na maji.
 
Tukio ni la muda sijataka liweka bayana sana kwa some details. Ila fahamu kuwa teknolojia inabadilika....

Bro unabahati sana au hao jamaa hawakuwa Takukuru ninaowajua mm,Pesa za Takukuru zinakuwaga na chemical flani hivi kiasi kwamba ukishika tu rangi rangi zinabaki mkonono mwako for 24hrs,hiyo ni moja ya vithibiti kuwa umepokea pesa...
Pesa za madili siku hizi hatushiki mkononi vinginevyo umekwenda na maji.
 
Hii ni story mzee! Labda unawasikiaga takukuru!

Hela umezishika kwa mikono ukarudisha begi! Hapo tayari ushakwisha! Na hizo fedha ungeziagiza tu.
Hiyo hela huwa haipotei mzee.

Halafu hyo hela ukiigusa tu! Hata unawe vipi lzm ndani ya 24hrs itabaki kwenye vidole.
Ndo maana ikaitwa za unga.

Wadanganye size yko.
Sasa swali unakua umekamatwa kwa kutumia harufu au kwa kubaki na unga unga wa kwenye pesa za takukuru? Maana cha msingi unatakiwa uwe na hizo hela sio unga wala harufu
 
kwa Taadhar tu sku hz jamaa wakikuweka kwenye Target ya pesa zao znakua na Unga flan iv ktendo cha kuzshka tu ata umpe mtu mwngne kama ulvyo fanya wakfka wakshakuweka chn ya ulnz wanatoa tochi yao na kukumulka mikono lazma udakwe tu
Kwa hivyo tuwe tunavaa gloves sio??
 
Sasa swali unakua umekamatwa kwa kutumia harufu au kwa kubaki na unga unga wa kwenye pesa za takukuru? Maana cha msingi unatakiwa uwe na hizo hela sio unga wala harufu
ukishkwa na trafk kwa kipmo cha kupuliza kile cha alcohol unakua umeshikwa ukiwa na mznga wa kvant au kiwango cha alchol?? subr ya kukute utaelewa kwa haraka zaid
 
Hili ni jibu bora kwa siku. Tena ni jibu kwa swali
 
Hawa jamaa wagumu kwa pesa yao, nikiwa mdogo nilishuhudia wakivunja choo walipekua humo ndani hadi walizipata yaani karani wa mahakama aliistukia akaamua kuzitupa chooni Ile anatoka anakuta watu wanamsubiri kumpekua hana kuvunja Choo wakazikuta
 
Nlikuwa nmeajiriwa Kampuni flani miaka hiyo ya 2010s ndani ya miezi 3 tu Uongozi uliona nafaa kuwa kiongozi katika kitengo cha manunuzi. Walimtoa aliyekuwepo ambaye mpaka muda huo alikuwa na kashfa nyingi sana.

Shida kubwa walikuwa wanamuogopa sababu alikuwa anahisiwa ni mtu wa mfumo na pia alikuwa anayafahamu makando kando mengi sana ya Kampuni.

This time alitolewa sababu aliyekuwa kiongozi alikuwa mgeni .so yeye hakujali hayo aliyoambiwa about the man. Hili lilieta changamoto kidogo kwa Mkurugenzi ambaye ni alikuwa kabila moja na jamaa mtolewa na Board yake maana wakawa na waswas kuwa sasa maisha yatakuwaje nmewekwa mtu mgeni sieleweki.

Jamaa akapewa kitengo kingine.aliumia sana na kuapa kuwa mimi sitodumu nafasi ile. Basi ikaja tender moja kubwa sana ya mamilion ya pesa. Kiukweli ilikuwa na mitego mingi sana ya Rushwa.

Binafsi nlikuwa nafahamu vigezo vya kutoa tender husika ni vipi.nmezungukwa na wapigaji ila mimi ndo mtu muhimu zaidi.jamaa wakaja kuniona ofisini tukajadiliana mawili matatu wakataka tuongee ki utu uzima.

Nliwaambia haina shida tuongee tu.wakasisitiza ni vyema iwe nje ya ofisi.nikasema sawa. Tukazungushana sana wakati huo mchakato unapamba moto. Jamaa wenzangu wamekamata unyevu tayari wanasubiri na mimi nikamate.

Kumbe yule jamaa aliyetoka ile nafasi yangu alikuwa anahusika kwa kiasi kikubwa sana na ilitokea siku moja nipo na jamaa tunaongea simu ikaita kwa wale jamaa kuangalia namba na jina la mbaya wangu.nikanyamaza kama sikuona kitu. Jamaa alipokea na kujibu tu " subiri ntakupigia kukujulisha" akakata.

Taa nyekundu iliwaka kichwani.nina jamaa zangu wapo mtandao flani wa simu nikapeleka namba zao kwenda kuangalia mawasiliano ya watu hawa yakoje.nlishtuka wanawasiliana frequently.

Basi jamaa wakanambia wapo tayari kunipa mil 10 niwape tu uhakika kuwa nitawapitisha hata kwenye 3 bora huko kwingine watamalizia wenyewe.nikawaambia 15 mil zitapendeza zaidi. Hawakubisha

Siku ya kuonana na jamaa tulipanga kukutana mitaa flani hivi karibu na home kuna hotel waje na mzigo.wakati huo home nlikuwa nmeshampanga bwana mdogo tutatumia nyumbani kwake.maana alikuwa single. alikuja mara moja kuwa akae upande wa pili wa jirani kwa jamaa yake awe standby.

Tulipofika Hotel hiyo tumeagiza vinywaji jamaa ananambia nikamate kabisa ule mzigo.nlimwambia hapana ashike tu kwanza pesa zilikuwa kwenye bag la laptop.

Nikamwambia tuinuke twende sehemu nyingine pale si pazuri sana.jamaa akaanza kudai ana haraka sana amemwacha mama yake mgonjwa.nikamwambia kama hawezi fuata utaratibu wangu aondoke na ule mzigo.the man jasho lilikuwa linamtoka sana though the place pana AC.
Basi nikamwambia tuondoke twende home.akaomba afike washroom kwanza. Akaenda akarudi fresh na kusisitiza tuwahi basi home.ilinishangaza kidogo kama karudi ana nguvu hana tena waswas.

Basi tukaingia garini yeye kashika bag.mimi nlienda hiyo sehemu na bodaboda. Alikuwa na gari Toyota Prado.hao mpaka home kwa bwana mdogo nikafika that time nimeshamwambia kwa text whatsapp nakuja wewe nenda ukuta wa pili kwa jirani.jamaa yake.

Kweli tumefika nikashuka nikafungua geti gari ikaingia ndani.tukawa ndani na jamaa.akatoa mzigo nikahesabu nikamwambia aondoke na bag lake halina haja ya kubaki. Pesa zilikuwa za kawaida si mpya.

Basi jamaa akawa anaaga. Akapanda garini ambako alimwacha dereva wakatoa gari.zile pesa nlizifunga kwenye mfuko wa karatasi nikamrushia bwana mdogo ukuta wa pili akaondoka nazo. Hazikupita dk 15 nikasikia hodi.

Natoka nakutana na Mzee Mmoja Balozi/Mjumbe na jamaa wanne. Wakatoa IDs zao kuwa wao ni Takukuru na Mmoja wao ni Askari. Wanaomba kuja kusearch nyumba yangu wakiwa na Mjumbe.

Nliwakaribisha ndani. Walisearch nyumba nzima mpaka darini.wakakosa walichotaka maaana ilibidi wajieleze sasa nliwaeleza tu kuwa jamaa alikuja nimwoneshe gari langu maana nlikuwa nauza tukashindana bei akaondoka na pesa zake.jamaa hapo wakashtuka na mmoja haraka akatoka nje kupiga simu.

Akarudi na kuwaambia wenzie twendeni.nakumbuka mmoja alisema "bro tumekosea sole" (siyo sorry) nikawaambia msijali.

Wakaondoka kasi nadhani kumfuata jamaa... After a week ulifanyika mchakato wa kumpata mzabuni. Wale jamaa hawakupata tuliwachinja hasa mimi ndiye nliyeshika kisu.walikosa sifa muhimu.

Mi nlikuwa nmesharudi kwenye makazi yangu na bwana mdogo kasafiri zake tena.maisha yakaendelea maana hawakufahamu naishi wapi.

Nlichukua mil 13 mbili nikampa bwana mdogo. Sikutumia zile pesa nlienda ingiza kwenye account ya uncle wangu mmoja zikae zipoe kwanza.

LEO HII NIMEKUTANA NA JAMAA ALIYETAKA KUNIUNGUZA AKISHIRIKIANA NA YULE JAMAA ALIYETUMWA NA KAMPUNI KUNIPA RUSHWA. AMECHOOOOOOKA SANA. ALITAKA KUNIKIMBIA MIMI NIKAMKIMBILIA KUMSALIMU.

anaendesha kirikuu...ingawa amenambia ni chake lakini mazingira yanaonesha ameajiriwa maana pale ni kijiweni na wenzie walikuwa wanamtania jinsi jana alivyonyanyaswa na Traffic akiwa amebeba mizigo ya watu akiwahamisha from point A to Point B.

UBAYA HUWA HAULIPI.

Mhusika hajataka jina lake lifahamike
hiyo ndio faida ya kachale dadek
 
MPWAA AIKUNYINGINEEE USIFURAHIEE SANAAA HIZI PESA ZA STYLE HIOO MWANZA NIMEONAA WATU WAMEFUMULIWA MARINDA WAKIAMBIWA RUDISHA ACHA SEHEMU FULAN WANAGOMAA ACHA TU ACHAA KABISA
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwani yakifumuliwa huwezi kuyashona tena?
 
Back
Top Bottom