Huyu ndiye Jamaa aliyetaka nikamatisha Takukuru Nihukumiwe Uhujumu Uchumi

Picha hata ya kirikuu basi tafadhali.
Unajua habari kama hii bila picha hainogi?
Picha wapi kamanda wakati hii ni chai kabisa!!!
Yaani uchomoke na mil za watu afu jamaa wasikuwekee watu wa kukutail nakukufanyizia usipotema mzigo wao?
 
ukishkwa na trafk kwa kipmo cha kupuliza kile cha alcohol unakua umeshikwa ukiwa na mznga wa kvant au kiwango cha alchol?? subr ya kukute utaelewa kwa haraka zaid
Mkuu kujitetea kwenye hilo swala ni rahisi sana maana unaweza ku raise defence kwamba hao ma afisa wa takukuru walikuja kukupaka wenyewe huo unga maana wewe hukuziona na wala huna hizo hela wanazodai, inawezekana hunielewi maana mimi naongea kwenye legal aspects za defence..
 
Zile pesa huwa zinatakiwa zirudi.hawa wangu walidhani jamaa kaondoka nazo hasa baada ya kusikia kaondoka na kibag.

Hawa jamaa wagumu kwa pesa yao, nikiwa mdogo nilishuhudia wakivunja choo walipekua humo ndani hadi walizipata yaani karani wa mahakama aliistukia akaamua kuzitupa chooni Ile anatoka anakuta watu wanamsubiri kumpekua hana kuvunja Choo wakazikuta
 
Na moto nikazima asipike tena.

Yeye alitaka kukumwagia ugali haaa haa nawe ukamwahi ukamwaga vyote mpaka maji ya kunawa [emoji23][emoji23][emoji23]
 
HAHAHA hahahaaaaa mpwaaa

Labdaaaaaa na Chupaa sindanooo ayafungii
Unashona kwa chupa na uzi ganiiiii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hio inaitwa pata potea
 
kwa Taadhar tu sku hz jamaa wakikuweka kwenye Target ya pesa zao znakua na Unga flan iv ktendo cha kuzshka tu ata umpe mtu mwngne kama ulvyo fanya wakfka wakshakuweka chn ya ulnz wanatoa tochi yao na kukumulka mikono lazma udakwe tu
Ushahidi ni kukushika na pesa. Mahakama haitakubali ushahidi wa rangi au alama katika vidole.
 
Takrima gani ya kujificha hivyo? Kama ulipewa hiyo fedha na hukutekeleza walivyotaka waliokupatia fedha hiyo wewe ni tapeli nambari wani...adhabu ya matapeli ni kuwafanyizia
Rushwa ni mbaya, ila hapa inaonekana huyu alitaka kutoa rushwa bila kuombwa. Kwa vile alizoea kutoa rushwa, mbaya zaidi alikuwa hana nia ya kuota rushwa ili apate tenda, bali alitaka kumfunga mhusika. Kwa hiyo ilikuwa vizuri alichukuwa pesa, takukuru hawakumshika, na mtoa rushwa hakupta chochote. Ila angalia saana. Wewe baada ya kujaribiwa kwa rushwa ungegoma na kumwambia kuwa wewe hutaki rushwa na maombi yake yatajadiliwa sambamba na maombi mengine na vigezo ndivyo vittamuwa nani apewe tenda.
 
With a good lawyer, this approach will fall flat and accused will be set free.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…