Son of Alaska
JF-Expert Member
- Jun 2, 2008
- 2,812
- 1,061
Without any shadow of doubt,mkononi kavaa ROLEX DATAMASTER,in other words price ni equivalent ya life saving ya mtu
Jamaa fuba analo aiseeWithout any shadow of doubt,mkononi kavaa ROLEX DATAMASTER,in other words price ni equivalent ya life saving ya mtu
Teh teh....mi simo aiseeinaonekana hi mutu imefanya doctoring ya birth certificate-mbona inaonekana kama imekula salt kwa sana tu
% kubwa ya mashori wa bongo hamnazo kichwani yaani ni mbumbumbu mawazo yao yapo kwenye Reds na mawigi wanayoyavaa......
Na wengi wao kazi yao ni kuwajadili watu badala ya kujadili mambo ya msingi wakati ya kwao hawayasemi% kubwa ya mashori wa bongo hamnazo kichwani yaani ni mbumbumbu mawazo yao yapo kwenye Reds na mawigi wanayoyavaa......
bwa ha ha ha ha aiseee noti zake mwazionaje? unajua nyie bana ule ung'eng'e wake wa Wall street ya NC unawazingua
hata kuwadanganya waTZ ambao uwelewa wao ni mdogo ni ufisadi pia.....This thread sucks,,,,it's personal it's worthless,,,,
We are all Tanzanians,after all in average Tanzanians are short,so what?
Mwachieni mwenzenu apumzike,This is no difference to UFISADI,because UFISADI=SELFISHNESS,That's what's this thread is all about!
Naona Mashaka baada ya kuwa laid-off Wachovia Bank kutokana na Global Financial Crisis na badaye kulipwa severence package ya kiutu uzima, kaamua kusajili NGO ya uwongo na kweli ya kusaidia yatima hapa NC, na hatimaye kuingia mitini Bongo akiwa kama self-appointed Do-Gooder kwenye sekta ya Charity. Ningemsmehe kama alipiga picha Bongo Celebrity akiwa kwenye three-piece suit hapa NC, lakini baada ya kumwona tena na three-piece yake ileile (apparently) kwenye joto la Bongo pamoja na Miichuzi, kwa kweli nimepoteza kabisa imani na Mashaka.
Inaonekana jamaa kumbe anajali zaidi image and appearance yake binfasi na sidhani kama biashara ya charity aka "kusaidia yatima" inamfaa kwa mtu anayependelea kuonekana kwenye 3-piece suit wakati Tanzania imejaa vijana tele wa Kizungu wa kike na kiume ambao hawatafuti umaarufu mbele ya umma ya Watanzania na ambao pia pengine wanamzidi maradufu kwa elimu, taaluma na umakini kwenye wa shughuli za kuondoa dhiki na umasikini nchini wakiwa wamevaa vitisheti, ndala na bukta huku wakinyonga baiskeli sehemu mbalimbali za vijijini Tanzania wakiiishi maisha ya taabu na kujinyima sana ya mazingira ya taabu ya vijijini Tanzania ukilinganisha na maisha bora zaidi waliyozoea makwao.
Huyu Mashaka naona kweli ana mashaka kwani ni wazi ana-enjoy sana cheap popularity haswa kupitia blog ya Michuzi hata kujifanya (na ku- pose) kama "celebrity" kwenye mtandao. Huyu njemba kwa kweli msimchukulie kijuujuu tu: mjihadhari na John Mashaka kwani ni wazi Mashaka ana lake jambo! Eebana Mashaka bora urudi tu NC kubeba boksi Wal-Mart badala ya ku-masquerade kama intellectual na philanthropist of some sorts huku umevaa cheap suits zako za TJ-Maxx!
Walalamika ana lake jambo na kutafuta cheap popularity wakati wewe unamfagilia bila kujua!
Who is John Mashaka or is he actually Jan Makamba? anybody with details please. This is just tetesi.
Who is John Mashaka or is he actually Jan Makamba? anybody with details please. This is just tetesi.
Very true pal@MGsalon:
Wishful Thinking!