Huyu ndiye John Mashaka...

Huyu ndiye John Mashaka...

inaonekana hi mutu imefanya doctoring ya birth certificate-mbona inaonekana kama imekula salt kwa sana tu
 
% kubwa ya mashori wa bongo hamnazo kichwani yaani ni mbumbumbu mawazo yao yapo kwenye Reds na mawigi wanayoyavaa......

YoYo ujatulia wewe, eti Redds na mawigi wanayovaa, mi nilizani ile pombe valour sijui ndio hivi wanaspell...lol
 
% kubwa ya mashori wa bongo hamnazo kichwani yaani ni mbumbumbu mawazo yao yapo kwenye Reds na mawigi wanayoyavaa......
Na wengi wao kazi yao ni kuwajadili watu badala ya kujadili mambo ya msingi wakati ya kwao hawayasemi
 
bwa ha ha ha ha aiseee noti zake mwazionaje? unajua nyie bana ule ung'eng'e wake wa Wall street ya NC unawazingua

Naona Mashaka baada ya kuwa laid-off Wachovia Bank kutokana na Global Financial Crisis na badaye kulipwa severence package ya kiutu uzima, kaamua kusajili NGO ya uwongo na kweli ya kusaidia yatima hapa NC, na hatimaye kuingia mitini Bongo akiwa kama self-appointed Do-Gooder kwenye sekta ya Charity. Ningemsmehe kama alipiga picha Bongo Celebrity akiwa kwenye three-piece suit hapa NC, lakini baada ya kumwona tena na three-piece yake ileile (apparently) kwenye joto la Bongo pamoja na Miichuzi, kwa kweli nimepoteza kabisa imani na Mashaka.

Inaonekana jamaa kumbe anajali zaidi image and appearance yake binfasi na sidhani kama biashara ya charity aka "kusaidia yatima" inamfaa kwa mtu anayependelea kuonekana kwenye 3-piece suit wakati Tanzania imejaa vijana tele wa Kizungu wa kike na kiume ambao hawatafuti umaarufu mbele ya umma ya Watanzania na ambao pia pengine wanamzidi maradufu kwa elimu, taaluma na umakini kwenye wa shughuli za kuondoa dhiki na umasikini nchini wakiwa wamevaa vitisheti, ndala na bukta huku wakinyonga baiskeli sehemu mbalimbali za vijijini Tanzania wakiiishi maisha ya taabu na kujinyima sana ya mazingira ya taabu ya vijijini Tanzania ukilinganisha na maisha bora zaidi waliyozoea makwao.

Huyu Mashaka naona kweli ana mashaka kwani ni wazi ana-enjoy sana cheap popularity haswa kupitia blog ya Michuzi hata kujifanya (na ku- pose) kama "celebrity" kwenye mtandao. Huyu njemba kwa kweli msimchukulie kijuujuu tu: mjihadhari na John Mashaka kwani ni wazi Mashaka ana lake jambo! Eebana Mashaka bora urudi tu NC kubeba boksi Wal-Mart badala ya ku-masquerade kama intellectual na philanthropist of some sorts huku umevaa cheap suits zako za TJ-Maxx!
 
Last edited:
So mleta mada ulitakaje? Una bifu na Mashaka nini?
Walalamika ana lake jambo na kutafuta cheap popularity wakati wewe unamfagilia bila kujua!
Lets discuss issues and not tissues!
 
Jamani napendekeza tuache hizi hisia za fitna na majungu yasiyo na msingi wala mwelekeo.

Sidhani kama aliyeanzisha hii thread alikuwa na madhumuni ya kusababisha hali hii kwa mhusika (J. M), ni vyema tukatambua kwamba J. M pengine ni memba ama angependa kuwa memba wa JF pia.
Amani.
 
This thread sucks,,,,it's personal it's worthless,,,,
We are all Tanzanians,after all in average Tanzanians are short,so what?
Mwachieni mwenzenu apumzike,This is no difference to UFISADI,because UFISADI=SELFISHNESS,That's what's this thread is all about!
hata kuwadanganya waTZ ambao uwelewa wao ni mdogo ni ufisadi pia.....
 
Naona Mashaka baada ya kuwa laid-off Wachovia Bank kutokana na Global Financial Crisis na badaye kulipwa severence package ya kiutu uzima, kaamua kusajili NGO ya uwongo na kweli ya kusaidia yatima hapa NC, na hatimaye kuingia mitini Bongo akiwa kama self-appointed Do-Gooder kwenye sekta ya Charity. Ningemsmehe kama alipiga picha Bongo Celebrity akiwa kwenye three-piece suit hapa NC, lakini baada ya kumwona tena na three-piece yake ileile (apparently) kwenye joto la Bongo pamoja na Miichuzi, kwa kweli nimepoteza kabisa imani na Mashaka.

Inaonekana jamaa kumbe anajali zaidi image and appearance yake binfasi na sidhani kama biashara ya charity aka "kusaidia yatima" inamfaa kwa mtu anayependelea kuonekana kwenye 3-piece suit wakati Tanzania imejaa vijana tele wa Kizungu wa kike na kiume ambao hawatafuti umaarufu mbele ya umma ya Watanzania na ambao pia pengine wanamzidi maradufu kwa elimu, taaluma na umakini kwenye wa shughuli za kuondoa dhiki na umasikini nchini wakiwa wamevaa vitisheti, ndala na bukta huku wakinyonga baiskeli sehemu mbalimbali za vijijini Tanzania wakiiishi maisha ya taabu na kujinyima sana ya mazingira ya taabu ya vijijini Tanzania ukilinganisha na maisha bora zaidi waliyozoea makwao.

Huyu Mashaka naona kweli ana mashaka kwani ni wazi ana-enjoy sana cheap popularity haswa kupitia blog ya Michuzi hata kujifanya (na ku- pose) kama "celebrity" kwenye mtandao. Huyu njemba kwa kweli msimchukulie kijuujuu tu: mjihadhari na John Mashaka kwani ni wazi Mashaka ana lake jambo! Eebana Mashaka bora urudi tu NC kubeba boksi Wal-Mart badala ya ku-masquerade kama intellectual na philanthropist of some sorts huku umevaa cheap suits zako za TJ-Maxx!

,,,,,,Miafrika ndio tulivyo.
 
Walalamika ana lake jambo na kutafuta cheap popularity wakati wewe unamfagilia bila kujua!

Fail!!! Nionyeshe nilipolalamika (mimi Nyani Ngabu) na kusema yeye (John Mashaka) anatafuta cheap popularity. Nionyeshe niliposema hivyo wewe kaka sijui dada. Nionyeshe maana mimi ndiye nimeileta hii mada....Ukishindwa wewe ndio utakuwa na lako jambo dhidi yangu kwa kunifananisha na wengine humu bila hata ya kuwa na uhakika na unachokisema.
 
Who is John Mashaka or is he actually Jan Makamba? anybody with details please. This is just tetesi.
 
Who is John Mashaka or is he actually Jan Makamba? anybody with details please. This is just tetesi.

Mpende msipende hawa jamaa wawili will one day rule this country.

January Yusuf Makamba ni mwanae Katibu Mkuu wa CCM YUSUF Makamba, ambaye kwa sasa ndiye mwakilishi wa Jimbo la Bumbuli. John Mashaka ni Mwanaharakati mkubwa, anayeiwakilisha Tanzania katika Soko la Kifedha la Kimataifa "Investment Banker" huko Wall-street Marekani. Hawa vijana ni vichwa, hawana umasikini wa hoja na sipunde nitafurahi sana kuwaona wakishirikiana kuiongoza hii nchi. January ni mtu wa kawaida sana, Mashaka naye ni kijana mchapa kazi na mwenye busara na upeo wa hali ya juu. Kwa hiyo tusiopenda maendeleo yao, nikiwa wa kwanza, sina budi kukubali kwamba hawa vijana wanakuja na kati ya Mgogoni St. Dar es Salaama. Nitawakaribisha ikulu ikiwa Ridhiwani, na Mzee Yusuf Makamba wamefungiwa nyororo shingoni
 
Who is John Mashaka or is he actually Jan Makamba? anybody with details please. This is just tetesi.

Sitashangaa kugundua kwamba, January Makamba anatumia majita feki kama John Mashaka ili alichanganye umma. Ila kwa nini amjenge mtu ambaye hayupo na hata kumuonyesha huyo mashaka kuwa na uwezo mkubwa kumzidi? Wana CCM ni watu wa ajabu, Pengine huyu January anatuchezea akili na kutumia jina John Mashaka ili hoja zake muhimu zisigundulike kwamba zinatoka kwake......In a matter of time. We will know the truth, kwa sababu Sioni picha za John Mashaka, ila mara nyingi story zake zina uhusiano na January Makamba
 
Please Leta details zaidi am bit dumb kuhusu hii issue tafadhali nijuze mkuu what made you think that
 
Back
Top Bottom