The Mongolian Savage
JF-Expert Member
- Jul 5, 2018
- 8,082
- 17,838
Ni kijana wa miaka 17 Axel Muganwa Rudakubana aliyezaliwa Uingereza na wazazi wa kinyarwanda wakimbizi.
Kijana huyo aliyesababisha vifo vya watoto wakike watatu na kuacha wengine 10 wakipigania maisha yao Hospitalini.
Ameshtakiwa mashtaka matatu
He is charged with three counts murder, 10 of attempted murder, and one count of possessing a bladed article and is remanded in youth custody.
Baada ya tukio hilo uvumi ukaenezwa kwenye mitandao ya jamii ya kuwa muuaji ni muislamu mkimbizi ambaye alivuka bahari kutoka Ufaransa kuingia Uingereza.
Mabaguzi yakachukulia hii fursa ya kumaliza chuki yao kwa kuishambulia misikiti na yoyote muhamiaji wakikutana naye.
Sheria za Uingereza hazirushu kabisa kuweka hadharani identifies ya watuhumiwa chini ya miaka 18 hasa wa mauaji lakini ikabidi hiyo sheria ivunjwe ili kuleta amani.
Ikajulikana kumbe aliyefanya mauaji siyo muislamu wala mkimbizi bali ni mkristo mnyarwanda aliyezaliwa Uingereza na ana uraia wa Uingereza.
Lakini hiyo bado haikutosha mabaguzi bado tu yanang'ang'ania fujo tu na kushambulia misikiti.
Yasemekana kijana huyu mnyarwanda kapitia ubaguzi sana hadi kuathirika kisaikolojia hadi ikampelekea kufanya haya mauaji kwa kuwachinja hawa madogo hawa wa kike.
Wengine majirani wanadai alikuwa anajifungia ndani kwao na kuimba kwaya mda mrefu.
Je mtuhumiwa angekuwa mzungu mwenzao wangefanya hizi fujo?
GENTAMYCINE Black Sniper LIKUD