Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Na tatizo hawawazuii watoto wao wala kuwaambia ubaguzi ni mbaya ila ndio kwanza wanachochea motoUbaguzi hauwezi kuisha uzunguni...
Wakati mwingine akitokea mtu kama huyo dogo unasema walau kuna mtu kawanyorosha wazungu...
Hasa mashuleni utaona kabisa wazazi weupe wanawabagua weusi sana
Hata tazama yao tu utaona hawakutaki