Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Na tatizo hawawazuii watoto wao wala kuwaambia ubaguzi ni mbaya ila ndio kwanza wanachochea motoUbaguzi hauwezi kuisha uzunguni...
Wakati mwingine akitokea mtu kama huyo dogo unasema walau kuna mtu kawanyorosha wazungu...
Uko sahihi kabisa mkuu.the best religion na hata wazungu waliyoisoma dini ya kiislamu watakwambia the same thing, hizo porojo zenu ni chuki tu zimewajaa nothing else
Wote waliosoma quran na mafundisho yake wameishia kuwa waislamu hata ,huyo aliyekuwa mbunge muholanzi wa far right wing alikuwa akipigania sheria kalia za kuwakandamiza waislamu leo amesilimu
Kiufupi tu ana degree ya dini from catholic university siyo kilaza kama wewe ,baada ya kufanya research zake kagundua ukweli upo wapi na ni muandishi wa vitabu pia
mpuuzi mmojaSana sana sana
Nani huyompuuzi mmoja
Ubaguzi hauwezi kuisha uzunguni...
Wakati mwingine akitokea mtu kama huyo dogo unasema walau kuna mtu kawanyorosha wazungu...
jamaa kauwa vititoto vidogo alafu unasema angalau? Waafrika ni makatali sana, hatuna tofauti na wanyama Pori
Ni kijana wa miaka 17 Axel Muganwa Rudakubana aliyezaliwa Uingereza na wazazi wa kinyarwanda wakimbizi.