Huyu ndiye mchumba wa mbwana samatta,anaitwa sandra friedrich.

Wa kawaida sana hakuna jipya chini ya jua hlo nalo litapita


UZEE NA KUZEEKA NANI ATAKWEPA??????
 
Kuna tofauti sana kati ya.

1. Rafiki wa kike.

2. Mchumba

3. Mke.

Na kila hatua ina mchakato wake na gharama zake.

Wanaume wa siku hizi bana, unakua na uhusiano na msichana wiki moja unaanza kumuita mchumba mara wife..
 
Reactions: Aza
Ndo kamfanya Samata hasitupeleke Fainail challenge
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…