Sijaelewa wewe ndiye emmyta au?DOOH!! Huu uzi wako umefanya nimecheka hasa hizo comments lol kwani kila mtu na lwake.. [emoji23][emoji23][emoji23]
Nipo Mkuu. Ila siku ingine uwe unajaribu kwanza kuwauliza wale watu waliokuwa karibu wa huyo unayemuhitaji ili kuepuka hizi mambo mana mpaka sasa Babumawe umegeuka kuwa Id ingine ya Emmy. Lol
Cc. Numbisa & ukhuty.
Ndio mimi mkuu.Samahani wewe ndiye credit analyst
Demis nae haonekani, au ndio kashapata ubatizo mpya [emoji23]
Daa hawa watu sijui walienda wapi !
Chura gan tena jaman.......[emoji23][emoji23][emoji23]Ana chura?
Soo gani
Kutogombana na mtu yeyote nako si ustaarabu.i agree Emyta ni mdada mstaarabu sana, sijawahi kumuona akigombana na mtu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kutogombana na mtu yeyote nako si ustaarabu.
Yani wewe kila mtu unapatana naye tu, hugombani hata na mtu mmoja, wengine utakuwa unawadanganya.
Uongo si ustaarabu hivyooo.
🤣🤣🤣Chura gan tena jaman.......[emoji23][emoji23][emoji23]
AsanteSoo gani
Hii list yako hapo ni kama umetaja mtu mmoja
Anatumia ID gani sasaivi?