Huyu ndiye mdada mstaarabu aliyewahi kutokea JF

Huyu ndiye mdada mstaarabu aliyewahi kutokea JF

DOOH!! Huu uzi wako umefanya nimecheka hasa hizo comments lol kwani kila mtu na lwake.. [emoji23][emoji23][emoji23]

Nipo Mkuu. Ila siku ingine uwe unajaribu kwanza kuwauliza wale watu waliokuwa karibu wa huyo unayemuhitaji ili kuepuka hizi mambo mana mpaka sasa Babumawe umegeuka kuwa Id ingine ya Emmy. Lol

Cc. Numbisa & ukhuty.
Sijaelewa wewe ndiye emmyta au?
 
Kutogombana na mtu yeyote nako si ustaarabu.

Yani wewe kila mtu unapatana naye tu, hugombani hata na mtu mmoja, wengine utakuwa unawadanganya.

Uongo si ustaarabu hivyooo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom