Huyu ndiye mdada mstaarabu aliyewahi kutokea JF

Huyu ndiye mdada mstaarabu aliyewahi kutokea JF

Jf imebadilika sana sana na kuna baadhi ya wana jf wameacha au wanatumia kwa uchache sana forum hii. Wengi wanasema watoto wadogo wamejazana kwa sasa na hawana heshima kabisa, unaweza jikuta unatukanwa ama kujibiwa vibaya pasipo sababu ya msingi na na kitoto cha miaka ya 2000s,ambacho ni sawa na kijukuu tu.

Baadhi ya watu pia wanaondoka kama tunavyojua ya kuwa hapa duniani hatukuja kudumu milele na ikitokea hivyo si rahisi sana mtu yoyote kutambua furani katangulia mbele za haki kutokana id fake hata kama alikuwa ni jirani yako huwezi jua.

Kingine jamii forum imekuwa nyepesi sana ukilinganisha na miaka ya nyuma, nondo zimepungua sana na hata wengine kupelekea kuwa wapenzi wasomaji tu badala ya uchangiaji, dunia inaenda kasi sana.
 
Back
Top Bottom