Huyu ndiye Member wa kiume aliyewahi nivutia kimapenzi kutoka JamiiForums!

Leo kwanza achen nifunguke tu ya moyoni nimeenda ATM kunyonyoa hela kumbe limashine limekata net sna rahaaa kabisa yan eti naambiwa subiri masaa 24 pambaaaafu NMB
Afadhari najua utakuwa mpole kwangu. Haya sema humtaki mganga nikutumie 50 ya Amarula fastaa
 
Afadhari najua utakuwa mpole kwangu. Haya sema humtaki mganga nikutumie 50 ya Amarula fastaa
Mhg yani leo nilitaka kupombeka lakin kwa shart hilo siwez nampenda kalumanzila kasema ananirushia 70
 
Mhg yani leo nilitaka kupombeka lakin kwa shart hilo siwez nampenda kalumanzila kasema ananirushia 70
Ni PM tuu kuna 90 ya haraka. Wewe njoo tuu ninongoneze kule chumbani kwa sauti nyororoo.. Tufanye muamala fasta
 
Huyo aliezimikiwa bora piga kimya kwa sasa hata ukijua ndio wewe, ukija kula mzigo hakikisha tigo yako italiwa na nyuki. Mzee wa msata ana satellite ya kichawii[emoji6][emoji38][emoji38].

Ndukiiiii [emoji2089][emoji2089][emoji2089]
[emoji46][emoji46][emoji47][emoji47][emoji39][emoji39][emoji1550][emoji1545][emoji1545]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…