Snipes
JF-Expert Member
- Jul 2, 2013
- 9,165
- 16,791
we unazungusha tu wengine huku jua la utosiKwann kiongoz?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
we unazungusha tu wengine huku jua la utosiKwann kiongoz?
Acha dhambi ndugu yanguwe unazungusha tu wengine huku jua la utosi
😉Onyo: story inahusu wakati uliopita kabla sijawa na kalumanzila.
Niwaambie kitu ni kweli mtu anaweza kukuzimikia ile deep kabisa wakati wala hajui hata sura yako.
Hata mimi nimeshawahi vutiwa kimapenzi na member mmoja hapa Jf nilitamani siku moja nimfungukie kabisa nimwambie jinsi ninavyompenda.
Nilikuwa nikiona tu comment zake mapigo ya moyoo speed 120.
Kwanza akinipa tu like jaman uwiiiii[emoji21][emoji21][emoji21]nahisi kufakufaaa.
Nilikuwa namvutia pichaa yani anafanana kama Izzo business maana huyo msanii ana macho na mwili wa mahaba sana. SAsa nikicheki tu I'd yake navuta pichaaa jinsi alivyo yani mahaba kama yoteee laiti angejua jinsi nilivyokuwa nampenda achaaaa tu.
Ningekuwa naweza kutongoza akiii ningeshamzamia zake PM.
I'd yake inaanzia na M mwisho wakee E.
Nimeamini yale maneno unaweza kumzimikia mtu kwa yale tu anayoandika mengine utayavumilia tu.
Mke wa kalumanzila.View attachment 887413View attachment 887414
SeriousSiyo wewe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Leo kwanza achen nifunguke tu ya moyoni nimeenda ATM kunyonyoa hela kumbe limashine limekata net sna rahaaa kabisa yan eti naambiwa subiri masaa 24 pambaaaafu NMBWewe jishaue kusonya, nafunga mfuko sasa tuone utakunywa wapi Lion Hills,
Watu na bhati zao sijui nani huyo yaanWapi kwan mm mashine?
Naituma PM mkuuNipe namba upate vochaa ya bureeee