Huyu ndiye Member wa kiume aliyewahi nivutia kimapenzi kutoka JamiiForums!

Huyu ndiye Member wa kiume aliyewahi nivutia kimapenzi kutoka JamiiForums!

Onyo: story inahusu wakati uliopita kabla sijawa na kalumanzila.

Niwaambie kitu ni kweli mtu anaweza kukuzimikia ile deep kabisa wakati wala hajui hata sura yako.

Hata mimi nimeshawahi vutiwa kimapenzi na member mmoja hapa Jf nilitamani siku moja nimfungukie kabisa nimwambie jinsi ninavyompenda.

Nilikuwa nikiona tu comment zake mapigo ya moyoo speed 120.
Kwanza akinipa tu like jaman uwiiiii[emoji21][emoji21][emoji21]nahisi kufakufaaa.

Nilikuwa namvutia pichaa yani anafanana kama Izzo business maana huyo msanii ana macho na mwili wa mahaba sana. SAsa nikicheki tu I'd yake navuta pichaaa jinsi alivyo yani mahaba kama yoteee laiti angejua jinsi nilivyokuwa nampenda achaaaa tu.

Ningekuwa naweza kutongoza akiii ningeshamzamia zake PM.

I'd yake inaanzia na M mwisho wakee E.

Nimeamini yale maneno unaweza kumzimikia mtu kwa yale tu anayoandika mengine utayavumilia tu.


Mke wa kalumanzila.View attachment 887413View attachment 887414
😉
 
Wewe kaka kwahiyo umeamua tu kulikee hahha zaman nilkuwa nakupenda sana endelea kulike tu[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Tena ile bahari wana israel walivushwa
Nyota itanga'aaaaaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Its demis again no wonder

Last time she gave out tigo to jf members n get more moneyyyy
 
Wewe jishaue kusonya, nafunga mfuko sasa tuone utakunywa wapi Lion Hills,
Leo kwanza achen nifunguke tu ya moyoni nimeenda ATM kunyonyoa hela kumbe limashine limekata net sna rahaaa kabisa yan eti naambiwa subiri masaa 24 pambaaaafu NMB
 
Back
Top Bottom