Huyu ndiye Member wa kiume aliyewahi nivutia kimapenzi kutoka JamiiForums!

Huyu ndiye Member wa kiume aliyewahi nivutia kimapenzi kutoka JamiiForums!

Mshana jr wewe ni mtu wa aina yake sana, wewe ni miongoni mwa wanaotajwa kwa mema na dhihaka, lkn umeonyesha ukomavu mkubwa wa kiakili.
Nakupongeza kwa moyo huo bro.
Nakupongeza si kwa sababu u bora kuliko wote bali kwa uwezo wako wa ku handle yote kwa subira, hekima na uvumilivu...hongera sana kwani najua yapo yanakugusa na kuumia lkn umekuwa na kifua kipana cha kuhili lkn pia umejaribu kuepuka kulewa safi pale unaposifiwa sana pia kwa hilo nakupongeza sana sana
[emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1562][emoji1562][emoji1562][emoji1562]napokea kwa unyenyekevu mkuu..asante sana
 
Back
Top Bottom